Patflax jr
Member
- Apr 11, 2011
- 72
- 1
Tembelea website ya TCU...kifupi kuna form una download toka tcu..unaijaza den unascan halafu unaituma kwenye email wamekupa pale.ukikubaliwa kuhama utalipa 30000/= na kozi za kuchagua wamekupa pale wao mwisho tareh 7 ol da best
mdau itakuwa ni vipi kama nitaijaza kwa kutype (kuandika kwa kompyuta) then nikatuma?? Je nitakuwa nimekiuka utumaji wao?? Maana nilijarib kupiga cm zao ckupata majib
nani kakwambia haina ajira hyo?? wizara ya kilimo mbona wanaajir sana labda kwa wanafunz wa st joseph..
na majina ya sec round si yametoka au we ulijuaje kama upo joseph na ulifanya sec round.
au cjakuelewa mm may b.