Jackpiano
JF-Expert Member
- Apr 19, 2025
- 560
- 756
Title ya Uzi (Mada):
Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania
Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania.
Maswali yangu makuu ni:
Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato?
Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa sasa?
Na je kama nilisoma miàka miwili iliopita nafanyaje kupata kwa wakati uhuu cheti cha mafunzo ni nacho
Nawasilisha ......

Hodi wanajamii,