Jackpiano JF-Expert Member Joined Apr 19, 2025 Posts 560 Reaction score 756 Apr 20, 2025 #1 Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Hodi wanajamii, Click to expand... Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa sasa? Na je kama nilisoma miàka miwili iliopita nafanyaje kupata kwa wakati uhuu cheti cha mafunzo ni nacho Nawasilisha ......
Title ya Uzi (Mada): Hatua na Taratibu za Kupata Leseni ya Udereva Tanzania Hodi wanajamii, Click to expand... Napenda kujua kwa undani juu ya jinsi ya kupata leseni ya udereva hapa Tanzania. Maswali yangu makuu ni: Ni vigezo gani muhimu vinavyohitajika kabla ya kuanza mchakato? Ada ya malipo TRA ni kiasi gani kiasi gani kwa sasa? Na je kama nilisoma miàka miwili iliopita nafanyaje kupata kwa wakati uhuu cheti cha mafunzo ni nacho Nawasilisha ......
Thread Starter JF-Expert Member Joined Mar 16, 2017 Posts 1,392 Reaction score 1,070 Apr 22, 2025 #2 Mambo yamebadilika siku hizi unafanya mwenyewe kila kitu kwenye mfumo Taxpayers portal wa TRA