Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kuondoka nyumbani

Inategemea, kukimbia nyumbani sio njia pekee ya kuwahi kufanikiwa kimaisha,mwingine anamaliza chuo anapewa nyumba na kujumuika katika biashara za familia na kupiga hatua kubwa kimaisha kuliko kama angekimbia nyumbani na kukomaa mwenyewe.
 
Lakini ni kweli ukiondoka nyumbani akili inafunguka sana kupambana na maisha,angalia wachaga walio wengi wameendelea coz walihama kutoka moshi kuja Dar,Moro,Mbeya etc na wamefanikiwa
 
You have a point, mkuu. And you deserve my big thank! Ni kweli. Maendeleo katika maisha yanaletwa na hard work na plan nzuri ya matumizi tu... basi! Uwe unaishi na wazazi, uwe unaishi pangoni au nyumba ndogo... it doesnt matter.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli kwa familia za kiafrika kuna umri inakubidi uondoke nyumbani kupunguza mzigo mkubwa kwa wazazi maana familia zetu akiondoka mtoto analetwa mjukuu kulelewa sasa kuna mda bora uwaache ao wajukuu nawe ukajitafutie riski kwengine.
 
Hata wazungu,wahindi,wachina na matajiri wote wanaishi kifamilia
 
Ni kweli kwa familia za kiafrika kuna umri inakubidi uondoke nyumbani kupunguza mzigo mkubwa kwa wazazi maana familia zetu akiondoka mtoto analetwa mjukuu kulelewa sasa kuna mda bora uwaache ao wajukuu nawe ukajitafutie riski kwengine.
HIVI KAMA BABA YAKO NA MAMA YAKO NI VIKONGWE JE UTAWAACHA NA NANI ENDAPO UTAONDOKA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…