King Hongi
Member
- Sep 18, 2016
- 9
- 10
Ndugu hii mada inaweza kuwa pana kuliko tunavyoichukulia juujuu, kwa upande mmoja naungana nawe kuhama mkoa hata nchi kwenda kutafuta ni jambo jema na la kupongeza.Lakini ni kweli ukiondoka nyumbani akili inafunguka sana kupambana na maisha,angalia wachaga walio wengi wameendelea coz walihama kutoka moshi kuja Dar,Moro,Mbeya etc na wamefanikiwa
Ni aibu! Niliondoka nyumbani the day namaliza chuo! I never came back to stay more than a week!Ndo hivyo kwani dhambi!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah kwel inakera saaaanaugali wa shikamoo..
hauna nidhamu kabisa, mara utasikia kapasue kuni, kachume mboga hadi sokoni kununua nyanya utaenda!!
mmh mimi siiutaki hata bure aaseee
Wabongo tuna akili finyu na kudhani kukimbia kwenu ndio kwenda kutafuta maendeleo, hebu tuangalie jamii za Waasia na waarabu wengi hupenda kuishi katika familia kubwa, unamkuta babu, mtoto na wajukuu wanakaa kwenye mansion moja na bado wametuzidi mara hamsini kwenye maendeleo.
Kukaa nyumbani si tatizo, shida ni pale mtu unapokaa nyumbani bila kujishughulisha na chochote. Kuna wengi nawajua bado wako kwao na wanajishughulisha kuhudumia pia wazazi wao.
Mi siondoki home,takufa njaa bure!kwani dhambi kukaa kwa wazazi?na nina miaka 36 sasa
Hakuna cha aibu kukaa kwenu mkuu, mbaya ni kuwa tegemezi wa kila kitu. Kuna ambao wamekimbia kwao kwenda kupanga na bado wanategemea kulipiwa chakula na pango na ndugu au wazazi wao.Ni aibu! Niliondoka nyumbani the day namaliza chuo! I never came back to stay more than a week!
Uko waliko endelea ulaya na america ndio wanaongoza vijana kuishi nyumbani tena sio kuchelewa kuondoka wanaisha nyumbani maisha yao yote.ni maskini tuu ndio ulazimika kuondoka nyumbani.mfano akipeleka mtoto shule anarudi kuboresha biashara au shamba la baba ,na hili sio wazungu tuu njoo Arusha wamasai ,waarusha wachaga ,wagogo ,wasukuma ,karibu makabila yote Tanzania .vijana wanaume awaondoki nyumbani wanaishi nyumbani. wanajenga nyumbani .ni maskini tuu usiekuwa ataa na shamba na mjini nae umepanga ndio inabidi kufukuzaniana nyumbani,sana sana naona umeleta huu uzi bila ya kuwa na utafiti .Hi wana Jf,
Nimejaribu kuchunguza hasa hizo nchi zetu za Africa hususani (East Africa) limekuwa ni jambo la kawaida kukuta kijana ana miaka takribani 30 na bado anaishi kwa wazazi wake bila aibu anasubiri ugali wa shikamoo.
Hili jambo ukiliangalia kwa mapana utagundua linasababishwa na vitu Vingi..
Mfano mfumo wetu wa elimu nao unachangia kwa sababu elimu mtu anayopata mpaka chuo kikuu haimjengi muhusika katika kuwa na mawazo ya kujiajiri . Tatizo linakuja pale mtu kamaliza chuo alafu kakosa kazi ..utashangaa mtu anakaa nyumbani mpaka anaoa/kuolewa akiwa nyumbani.
Lakini upande wa pili hata kama mtu hajasoma pia bado utakuta anaishi nyumbani kwa wazazi akiwa na umri mkubwa..mi nadhani pia sisi wa Africa uvivu unatupeleka pabaya.
Tumezoea kukaa vijiweni muda mwingi tukijadili mambo yasiyo na msingi na tumekuwa watu wa kutojali muda kabisa... Wala hatuna ratiba ..
Yangu ni hayo tuu kama kuna mwingine mwenye mawazo tofauti na mimi anaweza akaongeza au kunipinga kwa hoja lakini...
Nawasilisha
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Haondoki mtu hapa we vepe!!!!
Huyu nadhani ajui anacho ongea .hao ndugu zetu wenye asili ya India .anajua jinsi wanavyo mzidi maarifa wameama nyumbani kwa wazazi wao !!??Hakuna cha aibu kukaa kwenu mkuu, mbaya ni kuwa tegemezi wa kila kitu. Kuna ambao wamekimbia kwao kwenda kupanga na bado wanategemea kulipiwa chakula na pango na ndugu au wazazi wao.
mi nadhani hatua ya kwanza ni kutokua tegemezi kabisa kwa watu wote,na kujitambuaHi wana Jf,
Nimejaribu kuchunguza hasa hizo nchi zetu za Africa hususani (East Africa) limekuwa ni jambo la kawaida kukuta kijana ana miaka takribani 30 na bado anaishi kwa wazazi wake bila aibu anasubiri ugali wa shikamoo.
Hili jambo ukiliangalia kwa mapana utagundua linasababishwa na vitu Vingi..
Mfano mfumo wetu wa elimu nao unachangia kwa sababu elimu mtu anayopata mpaka chuo kikuu haimjengi muhusika katika kuwa na mawazo ya kujiajiri . Tatizo linakuja pale mtu kamaliza chuo alafu kakosa kazi ..utashangaa mtu anakaa nyumbani mpaka anaoa/kuolewa akiwa nyumbani.
Lakini upande wa pili hata kama mtu hajasoma pia bado utakuta anaishi nyumbani kwa wazazi akiwa na umri mkubwa..mi nadhani pia sisi wa Africa uvivu unatupeleka pabaya.
Tumezoea kukaa vijiweni muda mwingi tukijadili mambo yasiyo na msingi na tumekuwa watu wa kutojali muda kabisa... Wala hatuna ratiba ..
Yangu ni hayo tuu kama kuna mwingine mwenye mawazo tofauti na mimi anaweza akaongeza au kunipinga kwa hoja lakini...
Nawasilisha
bora wewe uko kwa wazazi wako kuna wengine wa age km yko wanakomaa kukaa alipo olewa dada...manina kweli...Mkuuu hom sihami ng'oh bora wao wazaz wanikimbie wenyew maana mi ni mtoto wao na inabid nieategemee had pale nitakapo pata uhakika wa kuish mwenyew tofaut na hapo hom siondok na siham