Hatua ya kwanza ya mafanikio ni kuondoka nyumbani

Mafanikio hayana uhusiano wowote na mtu kuondoka kwao mapema otherwise machokoraa wangekuwa wanashikilia uchumi wa nchi hii.

Watu waliokulia familia duni ndo huona kutoka nyumbani mapema ndo ujiko.
 
Yesu mwenye aliondoka duniani akaenda kwa baba yake na hadi leo hajaridi yupo tu kwa baba yake
Ukisikia mtu kachanganyikiwa au kujitafutia rahana Basi wewe inakuhusu kwani ni lazima kuchangia mada Kama kichwani upo ziro. Some times kukaa kimya ni akili.
 
Hilo ni jibu la kijinga kwani hakuna watoto wa mawaziri au wabunge bd wanakaa kwao lakini bdo ni mashoga .cha msingi kijana jitambue hata km kwenu Mambo super Basi washauri wakuwezeshe usepe home na ukajaribu kujitegemea kivyako.ok tufanye una umli wa zaidi ya miaka 30 na unakaa home una girl friend utamuingiza hapo home au utampeleja guest hayo maadili ya kwenu yataruhusu hayo yote 2 kulala nje au kugongea ndani kwenu.jitanbue ondoka Nyumbani hata km kwenu Mambo mazuri.
 
Ukisikia mtu kachanganyikiwa au kujitafutia rahana Basi wewe inakuhusu kwani ni lazima kuchangia mada Kama kichwani upo ziro. Some times kukaa kimya ni akili.
Kuchanganyikiwa ni nn?
Rahana ni nn?
Akili ni nini?
 
Dah nmeufuatilia huu mtanange kwa karibu Sana nmegundua kuwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,,, ngoja kwanza,,,,,,,,,, ndo namalizia kula nguna ya bimkubwa hapa NASEMA HIV hom sihami nitaondokaje Sina Raman yoyote,,, kesho Nita attend kwa mamdogo Nika msalimie home RAHA SANA
 
Dah nmeufuatilia huu mtanange kwa karibu Sana nmegundua kuwa,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,, ,,, ngoja kwanza,,,,,,,,,, ndo namalizia kula nguna ya bimkubwa hapa NASEMA HIV hom sihami nitaondokaje Sina Raman yoyote,,, kesho Nita attend kwa Mdogo Nika msalimie home RAHA SANA....
 
Mkuu unataka taqwimu za nn wakat mambo yanaonekana
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Uzi mtamu , nimefatilia toka komenti ya kwanza , hadi ya mwisho , nkaona kumbe maisha ya mwanaume inakubidi uchakarike , sio uwe kama kike tu kusubiri kuolewa .
 
Really mkuu Yan ukishakua mwanaume n mapambano kisawa sawa hakuna kuremba
Uzi mtamu , nimefatilia toka komenti ya kwanza , hadi ya mwisho , nkaona kumbe maisha ya mwanaume inakubidi uchakarike , sio uwe kama kike tu kusubiri kuolewa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…