mwanazuoni mgeni
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 1,944
- 1,726
- Thread starter
- #21
Mwambie huyoAkili za mwendokasi mbaya, mtu anasemea kwa African setting wewe unatuletea waasia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie huyoAkili za mwendokasi mbaya, mtu anasemea kwa African setting wewe unatuletea waasia
Kabisa mkuu .thank ukibongo bongo ni heri kutoka home ukaenda kujitafutia maisha hasa pale unapoona hali ya home hairuhusu na wewe ni mkubwa.
kwa wasio wabongo wakiona home mambo safi hakuna kuondoka ni kubanana hapohapo kurithi utajiri na mtoto akitaka kusepa wazazi wanamkataza wanamtengenezea mazingira ya kuwa mrithi wao...
shida ya huku kwetu unakuta familia ina watoto 8 au zaidi, mtoto wa kwanza kamaliza chuo kikuu mdogo wake wa mwisho hata chekechea hajaanza, so kuendelea kukaa home ni kubana tu nafasi kwanza unajishtukia mwenyewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hii thread ukiipitia utagundua wachangiaji wengi ambao bado wanakaa nyumbani kwa wazazi wao.
Thank uUmenena mkuu [emoji120]mwanazuoni mgeni
Thank u
Wanasemanga [HASHTAG]#ujue[/HASHTAG] imekukosaUkisikia paaah...!!
Waasia na waafrica wote ni binadamu,na wanafanana kwa mahitaji ya msingi,hakuna kasoro yoyote kuchukua mfano kutoka kwao,jambo zuri unajifunza kutoka popote no matter the race.Akili za mwendokasi mbaya, mtu anasemea kwa African setting wewe unatuletea waasia
Sio dhambi mwaya, wewe kaa hapo hapo, uolee hapo na uzalie hapo hapo... Your life your choice.... Lol.Mi siondoki home,takufa njaa bure!kwani dhambi kukaa kwa wazazi?na nina miaka 36 sasa
[emoji121]Hi wana Jf,
Nimejaribu kuchunguza hasa hizo nchi zetu za Africa hususani (East Africa) limekuwa ni jambo la kawaida kukuta kijana ana miaka takribani 30 na bado anaishi kwa wazazi wake bila aibu anasubiri ugali wa shikamoo.
Hili jambo ukiliangalia kwa mapana utagundua linasababishwa na vitu Vingi..
Mfano mfumo wetu wa elimu nao unachangia kwa sababu elimu mtu anayopata mpaka chuo kikuu haimjengi muhusika katika kuwa na mawazo ya kujiajiri . Tatizo linakuja pale mtu kamaliza chuo alafu kakosa kazi ..utashangaa mtu anakaa nyumbani mpaka anaoa/kuolewa akiwa nyumbani.
Lakini upande wa pili hata kama mtu hajasoma pia bado utakuta anaishi nyumbani kwa wazazi akiwa na umri mkubwa..mi nadhani pia sisi wa Africa uvivu unatupeleka pabaya.
Tumezoea kukaa vijiweni muda mwingi tukijadili mambo yasiyo na msingi na tumekuwa watu wa kutojali muda kabisa... Wala hatuna ratiba ..
Yangu ni hayo tuu kama kuna mwingine mwenye mawazo tofauti na mimi anaweza akaongeza au kunipinga kwa hoja lakini...
Nawasilisha