Nini lengo la kwenda shule?..Acha uongo unasema elimu ya Tanzania haimjengi mtu kuwa na mawazo ya kujiajiri,una takwimu za kutuonyesha graduates wangapi wameshindwa kujiajiri,kujiajiri kunategemea na kujifikirisha kwa mtu kama mkichwa wako umelala ndio hivo utakaa tu nyumbani kusubiri kuajiriwa.
Tusisingizie elimu tuvilaumu vichwa vyetu vilivyolala,wapo watu wengi tu wamejiajiri baada ya kumaliza chuo sasa na hawa wamesoma elimu gani kama sio hii hii tunayoisoma wote