HesabuKali
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 2,791
- 5,687
Bora hata huko wapo wawili kuliko huko kwingine kila mshabiki ni MbumbumbuUkisoma Coment unagundua wenye Akili ni wawili tu.
1.................................
2................................
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bora hata huko wapo wawili kuliko huko kwingine kila mshabiki ni MbumbumbuUkisoma Coment unagundua wenye Akili ni wawili tu.
1.................................
2................................
Halafu ww jamaa unajikuta una IQ kubwa kushinda watu wote humu jamvini...Ukisoma Coment unagundua wenye Akili ni wawili tu.
1.................................
2................................
Pale we kundu hamna mwenye nazo kabisa.Ukisoma Coment unagundua wenye Akili ni wawili tu.
1.................................
2................................
Sahihi kabisa. Maana hata kule Rwanda nako ni nyumbani! Ok.Na pia ikumbukwe kwamba Kuna kitimu hakijacheza mechi ya ugenini hadi sasa
Na ikumbukwe kuna timu moja pekee iliyoingia hatua ya makundi bila ya ushindi wowote ule! Siyo ugenini, siyo nyumbani! Bahati iliyoje!Kujifunga kupo hadi EPL sembuse ligi zetu huku afrika
Group lenu mnapewa mamelodi, simba na Etoile. Hapo hupati hata point moja kwenye mechi sita.Ni swala la muda tu. Bora mmeshasema mapema huku hakuna vibonde kuna wababe ili tukianza upasuaji msibadilishe maneno. Ni swala la muda tu
Group lenu mnapewa mamelodi, simba na Etoile. Hapo hupati hata point moja kwenye mechi sita.
Kuna timu tayari ina point 6 zetu kwa kundi hiloGroup lenu mnapewa mamelodi, simba na Etoile. Hapo hupati hata point moja kwenye mechi sita.
Sio bahati tu, kuna timu iwe mbovu au nzuri makundi lazima, sasa wale wengine wakiwa wabovu huwaoni cafclNa ikumbukwe kuna timu moja pekee iliyoingia hatua ya makundi bila ya ushindi wowote ule! Siyo ugenini, siyo nyumbani! Bahati iliyoje!
Amerithi kwa Mama yako Aliyekuzaa.Horoya out
Vipers out
Raja Casablanca hakufuzi.... Ujinga ni wa ukoo wenu au umerithi kwa GENTAMYCINE 🙄
Acha kunywa banana halafu unaanza kuota ndotoYaan kiufupi hakuna vibonde,sasa makolo ole wenu muanze lawama kwetu yanga pindi tutakapokuwa tunatoa adhabu kwa timu!
AahaaaaaaBora hata huko wapo wawili kuliko huko kwingine kila mshabiki ni Mbumbumbu
Ongeza volume MkuuNi vizuri tukakumbushana kuhusu jambo hili muhimu kabla muda haujafika.
Huyu aliyempasua Al Ahyl!?
Hii Ligi Kuu,kama Madrid tu,la Liga anafungwa ila Kila siku anakiwasha UEFAIhefu akushinde ndio uwaze cafcl?