Hatua ya msingi imeisha naomba tathimini

TZ-1

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2020
Posts
4,321
Reaction score
7,501
Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 .

Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz ,

Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili ni master) jiko na sehemu ndogo ya kula
Lengo mwakn natak niwe na 10m. Ya pamoja vp itawez nifanikishia hatua nzuri niwez kuhamia . Sait ipo kibah mkoa wa pwani.

Lakn pia nipen namn nitavyowez bana matumizi wakt wa ujenz___

Picha chin ya ramani.
 
Attachments

  • IMG-20241214-WA0003.jpg
    IMG-20241214-WA0003.jpg
    58.6 KB · Views: 11
  • IMG-20241214-WA0002.jpg
    IMG-20241214-WA0002.jpg
    45.7 KB · Views: 12
  • IMG-20241214-WA0001.jpg
    IMG-20241214-WA0001.jpg
    60.1 KB · Views: 6
  • Screenshot_2024-12-14-08-57-40-508_cn.wps.moffice_eng.jpg
    Screenshot_2024-12-14-08-57-40-508_cn.wps.moffice_eng.jpg
    374.7 KB · Views: 20
  • IMG_20241109_182527.jpg
    IMG_20241109_182527.jpg
    1.4 MB · Views: 10
  • IMG_20241109_182551.jpg
    IMG_20241109_182551.jpg
    1.1 MB · Views: 16
Umesema master 2, mbona naona moja?
Hapo inabidi uongeze mil 4 ili upaue kabisa.
Hizo utaishia njiani.
Shida ipo kwny kupaua, ndio utatumia gharama kubwa kabla ya finishing! Na inategemea aina ya bati utakalo ezekea.
Ila hizo ni gharama za ujenzi wakawaida kabisa, mtaani yaani.
 
Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 .

Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz ,

Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili ni master) jiko na sehemu ndogo ya kula
Lengo mwakn natak niwe na 10m. Ya pamoja vp itawez nifanikishia hatua nzuri niwez kuhamia . Sait ipo kibah mkoa wa pwani.

Lakn pia nipen namn nitavyowez bana matumizi wakt wa ujenz___

Picha chin ya ramani.
Wakati wa kupandisha boma, inabidi uedit ramani yako. Mfano hapo mbele ya sebule, mlango na dirisha vimetenganishwa na ukuta wa sentimita 25, ambapo hiyo distance ni ndogo sana.
Sio hivyo tu, hata kwenye mlango wa kutokea jikoni pia ni hivyo hivyo
Minimum distance ambayo ilikuwa inahitajika hapo ni sentimita 45 ambapo katika ujenzi wake inakuwa unafatanisha tofali nzima na tofali za nusu vipande mpaka unafika juu, kwa hivyo itakulazimu upunguze ukubwa wa dirisha ili uweze kujenga kuta imara japo kuwa inapendeza zaidi ikiwa sentimita 70 ili iwe imara zaidi (tofali zima linaungana na nusu kipande, kozi inayofata unakuwa unabadilisha position ya tofali zima kulia na kushoto)
 
Msing tayari, fundi ali modifai kdogo czan kama aliendan na mawazo yako. Aksnt kwa maelekezo mazur
 
Umesema master 2, mbona naona moja?
Hapo inabidi uongeze mil 4 ili upaue kabisa.
Hizo utaishia njiani.
Shida ipo kwny kupaua, ndio utatumia gharama kubwa kabla ya finishing! Na inategemea aina ya bati utakalo ezekea.
Ila hizo ni gharama za ujenzi wakawaida kabisa, mtaani y

Umesema master 2, mbona naona moja?
Hapo inabidi uongeze mil 4 ili upaue kabisa.
Hizo utaishia njiani.
Shida ipo kwny kupaua, ndio utatumia gharama kubwa kabla ya finishing! Na inategemea aina ya bati utakalo ezekea.
Ila hizo ni gharama za ujenzi wakawaida kabisa, mtaani yaani.
Bati ni kawaida mkuu ntazo tumia
Room moja master na public toilet , nkaona ni sawa tuu kusema two master room

Inabd niwe na + 4million niwez kuhamia kizalendo
 
Hapo utahitaji estimations

Tofali 1,500 hadi top course

Cement 15

Nondo si chini ya 6 kwenye renta

Kokoto debe 50

Mchanga trip 2 za tiper

Jumlisha pesa ya fundi itakayobaki ndio utafurukuta nayo kwenye kupaua na bati

Note: Hayo ni mahesabu madogo hope yatazidi
Aksnt mkuu , kwa mchanganuo huu nitawez kupau na kuweka mlango wa mkubwa wa mbele na nyuma na madirsha ya chuma na kuhamia
 
Hapo utahitaji estimations

Tofali 1,500 hadi top course

Cement 15

Nondo si chini ya 6 kwenye renta

Kokoto debe 50

Mchanga trip 2 za tiper

Jumlisha pesa ya fundi itakayobaki ndio utafurukuta nayo kwenye kupaua na bati

Note: Hayo ni mahesabu madogo hope yatazidi
Tofali 1500 = Tshs 1,500,000
Nondo 6. Tshs 120,000
Mchanga 120,000/-
Kokoto 120,000
Fundi 1,000,000/-
Gharama za ziasda 600,000/-

Almost tshs 3,350,000/-
Baki 6,6350,000(hii bati na madirisha .
 
Tofali 1500 = Tshs 1,500,000
Nondo 6. Tshs 120,000
Mchanga 120,000/-
Kokoto 120,000
Fundi 1,000,000/-
Gharama za ziasda 600,000/-

Almost tshs 3,350,000/-
Baki 6,6350,000(hii bati na madirisha .
Material pande hizo yapo chini sana uku kwetu mchanga trip 1 tsh 100,000

Pia 6.6ml kwenye kupaua na bati hapo sina uhakika kama itabaki sent ya madirisha au mbao unazo?
 
Cna mkuu , ambacho ninacho ni hayo.matofali kiukweli
Makadirio ya fundi kwenye bati ni bati 85/maximum 90.
 
Natak kuforce ni paue niwek madirisha nipokee umeme mlango wa mbele na nyuma na kuhamia. Cjui itakuwaje__
 
Back
Top Bottom