Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muonekano una matter inategemea wewe unahitaji nini zaidiMkuu hv kuna shida sana mtu akiezekea bati nyeupe za migongo midogo kulko kununua hizi fake za rangi.?
Nimeipenda ramani yako boss tunaweza kushare.Hbr wana jamvi/wajenz tukiw Tamati kbs mwa mwak 2024 .
Nmejivuta ndan ya miak 3/4 katk ununuaji wa kiwanj na kuanz ujenz ,
Hatua niliyopo sasa nimekamilsha msingi wa room 3 sebule (•room mbili ni master) jiko na sehemu ndogo ya kula
Lengo mwakn natak niwe na 10m. Ya pamoja vp itawez nifanikishia hatua nzuri niwez kuhamia . Sait ipo kibah mkoa wa pwani.
Lakn pia nipen namn nitavyowez bana matumizi wakt wa ujenz___
Picha chin ya ramani.
kamaNatak kuforce ni paue niwek madirisha nipokee umeme mlango wa mbele na nyuma na kuhamia. Cjui itakuwaje__
Tofali si chini ya 2000 mpaka top kozHapo utahitaji estimations
Tofali 1,500 hadi top course
Cement 15
Nondo si chini ya 6 kwenye renta
Kokoto debe 50
Mchanga trip 2 za tiper
Jumlisha pesa ya fundi itakayobaki ndio utafurukuta nayo kwenye kupaua na bati
Note: Hayo ni mahesabu madogo hope yatazidi
Room3Hapo
Tofali si chini ya 2000 mpaka top koz
Fundi Maiko ukizubaa tuu,umeliwa vifaa!Nakubali hapo 10m itakusogeza kila la kheri cha umuhimu wabane mafundi wasikuibie sana
Hapo ulipo vifaa vipo juu kuliko alipo mtoa madaUjenz sio mrahisi kama mnavyoandika hapo juu.
Alaf Kuna mtu kasema Nondo 6[emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa uzoefu tu,
hapo sio chini na Nondo 20 , * 21k. = 800k
Kuna kokoto roli 1 hapo, 200k+.
Kuna trip 2 za Mchanga 200k
Matofali hapo weka 2,000 * 1,250 ni 2.5 Mill
Cement ni mifuko 20 kujenga ,(20*17k ) ni 340k
Cement ya nguzo na lenta weka 10 ni 170k
Mbao, maji weka 200k
Ufund weka 1.5 mill
Gharama usafiri vifaa + misumar weka 100k
Andaa 7 mill kufikisha kwenye Lenta
Na Hapo hujajaza vifus vyumban.
Ukitaka kuamia hapo hamna hamna bila umeme andaa 20mill.
ELA = Hela29k × 85 = 2,465,000
Bado ela mbao
Na ela ya fundi
Nakuelewa mueshimiwa TUKIELA = Hela
we MUHAYA BUANANakuelewa mueshimiwa TUKI
Yan mie pia nimeshangaa kuona nondo 6Ujenz sio mrahisi kama mnavyoandika hapo juu.
Alaf Kuna mtu kasema Nondo 6[emoji23][emoji23][emoji23].
Kwa uzoefu tu,
hapo sio chini na Nondo 20 , * 21k. = 800k
Kuna kokoto roli 1 hapo, 200k+.
Kuna trip 2 za Mchanga 200k
Matofali hapo weka 2,000 * 1,250 ni 2.5 Mill
Cement ni mifuko 20 kujenga ,(20*17k ) ni 340k
Cement ya nguzo na lenta weka 10 ni 170k
Mbao, maji weka 200k
Ufund weka 1.5 mill
Gharama usafiri vifaa + misumar weka 100k
Andaa 7 mill kufikisha kwenye Lenta
Na Hapo hujajaza vifus vyumban.
Ukitaka kuamia hapo hamna hamna bila umeme andaa 20mill.
Bado hujasema. Muoneksno pekee siyo Sababu ya kuingua gharama kubwaMuonekano una matter inategemea wewe unahitaji nini zaidi
Kwa nyumba za kisasa bati ya rangi ina muonekano wa pekee kuliko nyeupe
Hayo ni mawazo yako sikupingi ila kwa mimi muonekano ndio kila kitu sio unajenga banda la kuku unasema una nyumbaBado hujasema. Muoneksno pekee siyo Sababu ya kuingua gharama kubwa
SawaHayo ni mawazo yako sikupingi ila kwa mimi muonekano ndio kila kitu sio unajenga banda la kuku unasema una nyumba