britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Saaaanamama amepanua inchi!
Bendera inaweza kushushwaWale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine
Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa
Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda
Britanicca
Tunafanya kazi kupitia maandiko.Yesu akawaambia wafuasi wake, “Usiku wa leo ninyi nyote mtapoteza imani yangu kwangu. Maandiko yanasema, ‘Nitamwua mchungaji, na kondoo watatawanyika.''
Mathayo 26:31
Wishful thinking....Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine