and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taarifa zako siyo za kupuuzwaWale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine
Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa
Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda
Britanicca
Mungu akusaidie utoboe huu mwaka mkuuTunazisubiri hizo taarifa kwa hamu
Ukimuwaza chui anza kufunga mlango. Niko hapa tu nasubiriWale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine
Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa
Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda
Britanicca
Ukimuwaza chui anza kufunga mlango. Niko hapa tu nasubiriWale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine
Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa
Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda
Britanicca
kwa tukio lililotokea kwa trump majuzi, nina uhakika hata kampeni za mwakani kutakuwa na ulinzi mkali sana kwa baadhi ya wagombea. ila mtu atakayeleta ujinga kama huo hakuna Mtanzania atamsapoti. mimi hata ujinga wamefanya wakenya tu sisapoti kwasababu wameteketeza nchi yao kwa mikono yao kwa jina la demokrasia, watu wanaingia hadi bungeni wananajisi bunge wanafanya chochote wakiamini hakuna wa kuwafanya kitu, as if serikali haipo. sipendi ubabe wa serikali lakini kwa upande mwingine sipendi watu wasioishi kwa utaratibu.Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine
Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa
Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda
Britanicca
Wewe ndiye hauto support, uko peke yako.kwa tukio lililotokea kwa trump majuzi, nina uhakika hata kampeni za mwakani kutakuwa na ulinzi mkali sana kwa baadhi ya wagombea. ila mtu atakayeleta ujinga kama huo hakuna Mtanzania atamsapoti. mimi hata ujinga wamefanya wakenya tu sisapoti kwasababu wameteketeza nchi yao kwa mikono yao kwa jina la demokrasia, watu wanaingia hadi bungeni wananajisi bunge wanafanya chochote wakiamini hakuna wa kuwafanya kitu, as if serikali haipo. sipendi ubabe wa serikali lakini kwa upande mwingine sipendi watu wasioishi kwa utaratibu.
kiukweli sitasapoti. I am a none violence supporter.Wewe ndiye hauto support, uko peke yako.