Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Wanaccm Hawaachiani Maji ya kunywa Mezani - Kikwete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Leo nimekaa nikilitafakari hili sana. Umakini mkubwa sana sana unatakiwa nchini Slovenia ili yasijirudie ya mwezi wa tatu. 😊Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine
Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa
Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda
Britanicca
Muda ni rafiki mwema😂😂😂😂😂😂 Ndiyo ile Mungu hamtupi mja wake 🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mpaji Mungu
kwa tukio lililotokea kwa trump majuzi, nina uhakika hata kampeni za mwakani kutakuwa na ulinzi mkali sana kwa baadhi ya wagombea. ila mtu atakayeleta ujinga kama huo hakuna Mtanzania atamsapoti. mimi hata ujinga wamefanya wakenya tu sisapoti kwasababu wameteketeza nchi yao kwa mikono yao kwa jina la demokrasia, watu wanaingia hadi bungeni wananajisi bunge wanafanya chochote wakiamini hakuna wa kuwafanya kitu, as if serikali haipo. sipendi ubabe wa serikali lakini kwa upande mwingine sipendi watu wasioishi kwa utaratibu.
Sana, muda haudanganyi. Yajayo yatatimia...Muda ni rafiki mwema
Hua inakua na masihara hv ila unaongeaga yajayo.Wale wajuzi wa mambo ya intelligence Waanaweza angalia kwa jicho jingine
Fuatilua ziara za wakuu wa mihimili na ulinzi wanaopaswa nimejiridhisha pasina Shka kuna uzembe mkubwa kuliko hata wa waliotangulia. Kuna jambo linapangwa
Hapo Slovenia mnaweza anza mambo ya Nani ashike kwa muda
Britanicca
Tangu October 31, 2015 nchi ya Slovenia inaenda Kwa kudra za MunguSana, muda haudanganyi. Yajayo yatatimia...