Hatua za haraka zisipochukuliwa hapo Slovenia kunaweza kutokea jambo kubwa

Status
Not open for further replies.
Taarifa zako siyo za kupuuzwa
 
Ukimuwaza chui anza kufunga mlango. Niko hapa tu nasubiri
 
Ukimuwaza chui anza kufunga mlango. Niko hapa tu nasubiri
 
kwa tukio lililotokea kwa trump majuzi, nina uhakika hata kampeni za mwakani kutakuwa na ulinzi mkali sana kwa baadhi ya wagombea. ila mtu atakayeleta ujinga kama huo hakuna Mtanzania atamsapoti. mimi hata ujinga wamefanya wakenya tu sisapoti kwasababu wameteketeza nchi yao kwa mikono yao kwa jina la demokrasia, watu wanaingia hadi bungeni wananajisi bunge wanafanya chochote wakiamini hakuna wa kuwafanya kitu, as if serikali haipo. sipendi ubabe wa serikali lakini kwa upande mwingine sipendi watu wasioishi kwa utaratibu.
 
Wewe ndiye hauto support, uko peke yako.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…