Hatua za haraka zisipochukuliwa hapo Slovenia kunaweza kutokea jambo kubwa

Status
Not open for further replies.
Leo nimekaa nikilitafakari hili sana. Umakini mkubwa sana sana unatakiwa nchini Slovenia ili yasijirudie ya mwezi wa tatu. 😊


Na wasipo zingatia hilo anytime from now laweza tokea lolote ikawa yale yale πŸ˜…
 
Muda ni rafiki mwema
 

Lakini ulisapoti Yesu kuingia Hekaluni na kuwazingua Waliofanya biashara Hekaluni.

Ukizungua unazinguliwa.
Nchi inaweza kujengwa tuu. Upya
 
Hua inakua na masihara hv ila unaongeaga yajayo.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…