Hatua za kikanuni za Bunge zitakazochukuliwa dhidi ya Luhaga Mpina ziambatane na hatua muafaka za kikatiba za CCM kumng'atua

Hii ndio picha yenu halisi wahafidhina na msio taka watu wengine wawe na mawazo tofauti na yenu na ya mabwana zenu. Dunia inataka fikra tofauti Mpina anatakiwa kulindwa na Chama chenu na Spika. Acheni watu wafikiri tofauti mmedumisha sana fikra za Mwenyekiti for the last 60 years sasa mkubari mawazo tofauti. Mpina mnataka kumtoa kafara kama ilivyo desturi yenu ya kuwaziba midomo wenye mawazo tofauti na mkumbuke hii sio mara yenu ya kwanza manake hata mkimfuta Mpina kuna wengine watatokea.
Mpina yuko na hoja ebu jibuni hoja zake kwanza, tuna wasi wasi mkubwa kama mtandeka haki, hatua zilizochukuliwa na waziri wa kilimo hata mtoto mdogo anaona kabisa kuna kitu hakikuwa sawa. Mkiona mpaka makada wenu waandamizi wanaamua liwalo na liwe ebu jikagueni kwanza.
 
Je wabunge wa CCM huwa wanajua madhara ya sera wanazozipitisha Kwa hapo baadae,( the aftermath of policies approved), hadi zinakuwa sera ambazo hazina muelekeo yaani ambazo hazina tija
 
gentleman,
nadhani unayo mengi sana moyoni, pole..

but kwa leo ni muhimu zaidi kua wastahimilivu na wenye subra kidogo juu ya masuala mengine, tujikite kwenye hili ambalo liko wazi zaidi mbele yetu na siasa za Tanzania πŸ’

umeshawahi kuona wapinzani wanazungumzia hayo manung'uniko yako uliyoyaibua? unajua ni kwanini?

wanapenda kuzungumzia tuhuma za kubuni, za uzushi na za uongo wanazo zitunga wao wenyewe πŸ’
 
Huyo kaamua kufa na magufuli ingawa mwenzie makonda anajua kuuma na kupulizia anamtetea na kumsifu magufuli nyuma ya mgogo wa mama samia,

Ccm ni watu strategy sana hasa misimu ya kuelekea uchaguzi kama hii hivyo kuna wakati za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Hata zikizungumzwa na kuthibitika huwa kunatokea nini mbele ya ccm?

Ujinga tupu
 
Je wabunge wa CCM huwa wanajua madhara ya sera wanazozipitisha Kwa hapo baadae,( the aftermath of policies approved), hadi zinakuwa sera ambazo hazina muelekeo yaani ambazo hazina tija
baada ya sera au sheria kupitishwa na bunge na mh.Rais kuidhinisha, ikibainika kuna changamoto au athari katika utekelezaji wa sera na sheria hizi,
kupitia wizara za kisekta hatua za kuzirekebisha au kuzibadilisha sheria hizo huchukuliwa mara moja πŸ’
 
Hata zikizungumzwa na kuthibitika huwa kunatokea nini mbele ya ccm?

Ujinga tupu
ikithibitika ni tuhuma za uzushi na uongo, hatua kali za kinidhamu huchukuliwa dhidi ya muhusika mwenye jeuri na kiburi ambazo ni pamoja na kubanduliwa chamani πŸ’
 
Mleta mada sijasoma upuuzi wako wote maana nimeona tiyari uko upande wa kutetea ujinga ama una manufaa na ufisadi.Wapuuzi kama ww Mao wa china alikua anawatandika risasi ama kuwanyonga hadharani.Mpina kaja na data kabisa ww bado unanuona hafai unatetea wezi ww ndo inafaa wakutoe kafara kipindi cha uchaguzi kuliko kutwatoa albino.
 
CCM na ufisadi ni kama chupi na matako,Mpina kagusa moyo wa CCM lazima wapige mayowe.
 
Thubutu!
 
hizi mada za kitaalamu sio kwaajili ya wavivu na wakurupukaji gentleman πŸ’

haihitaji mihemko wala haraka kusoma taratibu zaidi ya mara4 ili kupata uelewa na ufahamu wa kutosha juu ya jambo lenyewe, na kutafakari kwa kina kabla ya kureply au kukoment...

kwa kufanya hivyo itakua umejitendea haki mwenyewe kifikra.

vinginevyo itakua ni wale wale kwa kukimbilia kwenye hitimisho kwa kejeli, ghadhabu na matusi ikiashiria dhahiri shahiri anacho weza nje ya hoja ni hicho tu πŸ’

naamini wew si moja wao, jitahidi kua na bidii πŸ’
 
Huko CCM kuwalinda wevi, waongo na wala rushwa, ndiyo mila na desturi ambazo Mpina, unasema amekiuka?

Kwenu wanaCCM ambao mko CCM mkiamini kuwa chama kipo kwaajili ya kulinda haki za wananchi, mwenzenu huyu anasema kuwa ukifichua uovu wa watendaji wa Serikali, unakuwa umekiuka maadili, mila na desturi za CCM. Na mwenzenu anasema kuwa kula rushwa na kufisadi pesa ya umma kwa kiasi kikubwa, kwa CCM, ni uchapakazi!!

Ni muda wa wanaCCM wanaochukia rushwa, wizi na uwongo, kujitafakari na kujipima kama wapo mahali sahihi. Sahizi CCM haimtaki Mpina kwa sababu amekuwa mkweli na amefichua uharamia wa Bashe.
 
Yes,
hata ukiita muhimili au chombo cha kuisimamia serikali, hukosei, uko sahihi πŸ’
Mtu anatoa mawazo yake,anachangia nyie kama
Bunge mnampinga,mnampiga mikwala mbona nyieee hampendi kusikilizaaaaa uchafu unaofanyika,kutwa kutetea uchafu na kuulindaaaaaa
WANANCHIIII WASHALICHOKAAAA BUNGEEEE HILOOOO MAANA LIPO KWA AJILI YA KUTETEA UCHAFUUUU

OVA
 


Uoni hata aibu Kaka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…