Rayamikhal
Senior Member
- Sep 14, 2026
- 110
- 207
Kumblock ni njia nzuri sanaWanaJF ilibidi nilete hizi njia kwa ajili yenu baada na kuniambia niwaandikie. Nimeongea na watu mbalimbali kuhusu experience yao kwenye mahusiano na Leo nimekuja na kisa Cha kweli ambacho huenda kitakuelimisha hasa kabisa linapokuja suala la mahusiano. Lakini kwanza kabisa, nitaziandika njia zitakazofanya wewe usahau mahusiano yako ya zamani yaliyovunjika.
Kuachwa au kuachana huwa haitegemei mlipendana au lah! Ila Yale mazoea humfanya mtu apate maumivu mazito sana wakati anaachana na mwenza wake, Hivyo basi hizi ni njia ambazo ukizifuata Moyo wako utapona kwa haraka sana;-
1. Kubali kwanza kwamba ni ukweli mmeachana.
- Ni ngumu sana kukubaliana na matokeo kama haya hasa pale wawili nyie mlipodumu kwa muda mrefu na mkawa na ndoto nyingi za pamoja. Hivyo tiba ya kwanza kabisa ni ukubaliane na matokeo kwamba it's over.
2. Kwenye simu yako futa mazungumzo yenu yote ya zamani, voice, picha lakini zingatia usimblock. Kumblock mtu uliempenda na mkaachana huonesha kutojiweza kwake na ukomavu mdogo wa mahusiano. Ila kufuta mazungumzo yenu itakusaidia kutorudi rudi kurejelea mazungumzo yenu ya zamani.
3. Usiweke hasira moyoni mwako kumuhusu Ex wako wa zamani ikibidi umuone tu kama rafiki.
Ugomvi usidumu kwenye maisha yako, mpaka wawili nyie mlipofikia kwenye uamuzi wa kuachana basi lazima kulikuwa na sintofahamu Kati yenu basi usidumu. Samehe lakini kama kunajambo unahitaji msaada kutoka kwake usisite kusema akikusaidia ni yeye na asipokusaidia basi ni yeye. Ni vyema umchukulie Kama rafiki ili kuweka mipaka na amani Kati ya mioyo yenu.
4. Usimfatilie mitandaoni(stalking). Haijalishi ni unampenda kiasi gani Ila ili kuweka usawa wa kihisia na akili yako mwenyewe usimfatilie aliekuwa Mpenzi wako mitandaoni.
5. Usitafute mahusiano ya haraka ili kumove on maana kama sio kujuta basi utaziumiza zaidi hisia zako. Kutafuta mtu mwingine ili uponye majeraha sio njia sahihi ya kujitibu maumivu yako ya zamani.
Angalizo kwa waliopo kwenye mahusiano au wanatarajia kuingia kwenye mahusiano,
Kama ikitokea mmegombana epuka Mambo haya 3 ;-
i. Usitumie maumivu yake ya zamani aliyokushirikisha kumuumiza zaidi.
ii. Usimlinganishe na ex zako wa zamani haijalishi yeye amekufanyia kosa gani.
iii. Usitumie maneno ya ukali au lugha ambazo zinamdharirisha.
Kitu Cha kuweka kwenye akili yako, mahusiano sio lazima yadumu, muda mwingine kuachana hutokea kwa sababu na hatima. Huenda sio mtu sahihi kwako au muda sio sahihi, Hivyo basi muachane kwa heshima ili kutoharibu mbele ya mwenza wako kwa kumkashifu.
P.p ;- samahani hii article imekuwa ndefu sana, kisa nilicho waahidi nitakiandaa alafu nikitume kwenu.
~rayamikhal
Thread ifungwe tukabet......Utasema ume move on kwa sababu hujamuona ngoja umuone maumivu yaanze upya😅😅💔
Dawa ya ku move on kata mti panda mtu Joanah ✔️
Nifundishe mikekaThread ifungwe tukabet......
Mrembo mambo
Kwani kuna watu bado wanaumizwa na kuachwa...!!?
Nashauri ukipigwa chini asubuhi, jua likizama uwe na mtu ndani ya penzi zito ikibidi muwe ufukweni mkiangalia sun set pamoja.Unakaaje kinyonge? Huyo aliyekuacha mwenyewe wakati wewe unaumia yeye anakaza pisi mpya huko 😀
Bro usijelaza watu njaa hela ya mboga akachukua muhindiNifundishe mikeka
Nimeota utajiri wangu ameushikilia kanji
Kwa kweli we unalia kamasi mwenzio ka muweka doggy mtu huko ana mlamba vibao 😅😅Unakaaje kinyonge? Huyo aliyekuacha mwenyewe wakati wewe unaumia yeye anakaza pisi mpya huko 😀
Kulala njaa mara moja hakuui mtu bana watajikaza kwani kesho yake mkeka si unatiki 😅Bro usijelaza watu njaa hela ya mboga akachukua muhindi
naunga mkono hoja,WanaJF ilibidi nilete hizi njia kwa ajili yenu baada na kuniambia niwaandikie. Nimeongea na watu mbalimbali kuhusu experience yao kwenye mahusiano na Leo nimekuja na kisa Cha kweli ambacho huenda kitakuelimisha hasa kabisa linapokuja suala la mahusiano. Lakini kwanza kabisa, nitaziandika njia zitakazofanya wewe usahau mahusiano yako ya zamani yaliyovunjika.
Kuachwa au kuachana huwa haitegemei mlipendana au lah! Ila Yale mazoea humfanya mtu apate maumivu mazito sana wakati anaachana na mwenza wake, Hivyo basi hizi ni njia ambazo ukizifuata Moyo wako utapona kwa haraka sana;-
1. Kubali kwanza kwamba ni ukweli mmeachana.
- Ni ngumu sana kukubaliana na matokeo kama haya hasa pale wawili nyie mlipodumu kwa muda mrefu na mkawa na ndoto nyingi za pamoja. Hivyo tiba ya kwanza kabisa ni ukubaliane na matokeo kwamba it's over.
2. Kwenye simu yako futa mazungumzo yenu yote ya zamani, voice, picha lakini zingatia usimblock. Kumblock mtu uliempenda na mkaachana huonesha kutojiweza kwake na ukomavu mdogo wa mahusiano. Ila kufuta mazungumzo yenu itakusaidia kutorudi rudi kurejelea mazungumzo yenu ya zamani.
3. Usiweke hasira moyoni mwako kumuhusu Ex wako wa zamani ikibidi umuone tu kama rafiki.
Ugomvi usidumu kwenye maisha yako, mpaka wawili nyie mlipofikia kwenye uamuzi wa kuachana basi lazima kulikuwa na sintofahamu Kati yenu basi usidumu. Samehe lakini kama kunajambo unahitaji msaada kutoka kwake usisite kusema akikusaidia ni yeye na asipokusaidia basi ni yeye. Ni vyema umchukulie Kama rafiki ili kuweka mipaka na amani Kati ya mioyo yenu.
4. Usimfatilie mitandaoni(stalking). Haijalishi ni unampenda kiasi gani Ila ili kuweka usawa wa kihisia na akili yako mwenyewe usimfatilie aliekuwa Mpenzi wako mitandaoni.
5. Usitafute mahusiano ya haraka ili kumove on maana kama sio kujuta basi utaziumiza zaidi hisia zako. Kutafuta mtu mwingine ili uponye majeraha sio njia sahihi ya kujitibu maumivu yako ya zamani.
Angalizo kwa waliopo kwenye mahusiano au wanatarajia kuingia kwenye mahusiano,
Kama ikitokea mmegombana epuka Mambo haya 3 ;-
i. Usitumie maumivu yake ya zamani aliyokushirikisha kumuumiza zaidi.
ii. Usimlinganishe na ex zako wa zamani haijalishi yeye amekufanyia kosa gani.
iii. Usitumie maneno ya ukali au lugha ambazo zinamdharirisha.
Kitu Cha kuweka kwenye akili yako, mahusiano sio lazima yadumu, muda mwingine kuachana hutokea kwa sababu na hatima. Huenda sio mtu sahihi kwako au muda sio sahihi, Hivyo basi muachane kwa heshima ili kutoharibu mbele ya mwenza wako kwa kumkashifu.
P.p ;- samahani hii article imekuwa ndefu sana, kisa nilicho waahidi nitakiandaa alafu nikitume kwenu.
~rayamikhal
Daaaah nimechoka kuficha, nimeachwa 😹Kwa kweli we unalia kamasi mwenzio ka muweka doggy mtu huko ana mlamba vibao 😅😅
Imagine uacwe stress
Bado uwe mpweke huna mtu upwiru nao huo hapo
Hapo hata ukija huku jeyihefu makasiriko yanakua makali sasa ya nini yote hayo😅😅
Nashauri ukipigwa chini asubuhi, jua likizama uwe na mtu ndani ya penzi zito ikibidi muwe ufukweni mkiangalia sun set pamoja.
Nani tena anasubutu kukuacha bro 🙆♀️Daaaah nimechoka kuficha, nimeachwa 😹
Nipo ndani nacheka kama chizi 😅🙌🏼Hii imeenda brother
Ukiachwa asubuhi, wakati unamalizia kufuta kila kitu cha phaller aliyekuacha tayari ushatafuta contact ya mwanaume mwingine uliyekuwa unamzungusha mpange mkutane ufukweni