Hatua za kufuata ili u-‘move on’ hasa baada ya kuachana na mtu uliempenda ukamuamini sana na kumthamini

Hatua za kufuata ili u-‘move on’ hasa baada ya kuachana na mtu uliempenda ukamuamini sana na kumthamini

Kuachana hits different kwa kila mtu..

Kila mtu ana EXPERIENCES zake na jinsi ya ku cope..

Wengine wanafyatua wenzao risasi, Wengine wanabaki kuwa ma stalkers!

Inategemea trauma uliyo achwa nayo..

I understand kuna watu wata move on easily ila I understand pia kuna watu watabaki stuck pia....such is life!
 
Maadam unaandika kwa maombi, naomba uandike kwa sisi ambao hatuna tatizo la ku move on, ila tuna tatizo la kung'ang'aniwa na ma ex ambao hawataki kuavhwa, hata wakiwa blocked wanabadili simu na kutusumbua.
Aaah kiranga🙌🙌🙌
Na kwann unam block mtu jmn🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom