Hatua za kufuata ili u-‘move on’ hasa baada ya kuachana na mtu uliempenda ukamuamini sana na kumthamini


Daah kwenye doggy hapo 😂😂

Enwei, kukaa kinyonge sio sawa
 
Maadam unaandika kwa maombi, naomba uandike kwa sisi ambao hatuna tatizo la ku move on, ila tuna tatizo la kung'ang'aniwa na ma ex ambao hawataki kuachwa, hata wakiwa blocked wanabadili simu na kutusumbua.
 
Nataka kuuliza swali, hivi hayo maumivu huwa pande zote? Maana nahisi unaweza kuwa na maumivu kwa mtu bila kujuwa hata hayajuwi hayo maumivu.

Me najua mumivu king'ang'nizi huwa yapo kwa nyie wote wawili. Lakini ikiwa rahisi kumove on basi ujue haukuwa upendo wa dhati.
 
Maadam unaandika kwa maombi, naomba uandike kwa sisi ambao hatuna tatizo la ku move on, ila tuna tatizo la kung'ang'aniwa na ma ex ambao hawataki kuavhwa, hata wakiwa blocked wanabadili simu na kutusumbua.

Unauhakika wanakufata wewe au pesa zako? Huenda uko na pesa na haikuwa mgumu kutoa. Hapo lazima wakung'ang'anie haswa. Labda utangaze umefirisika
 
Huu ushauri hauwezi kueleweka kwa penzi jipya au ambalo liko bampa to bampa ila usiwe na haraka watautafuta tu huu uzi soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…