Hatua za kufuata ili u-‘move on’ hasa baada ya kuachana na mtu uliempenda ukamuamini sana na kumthamini

Brother hiyo namba 5 inafanya KAZI vizuri kabisa NIMEWAI kuvitumia several times..
 
Tatizo lenu hua mnatamguliza hisia badala ya akili,
Unaumiaje kuachana na mtu uliyekutana naye ukubwani? Huu nao ni udhaifu tu.
Kusema ukweli Kuna mwanamke mpaka leo Huwa namkumbuka japo siumii kuwa mbali na yeye.

Ila nammis Sana maana anahangaika Sana kitandani unaona kabisa hapa naibiwa mchana kweupe ipa ndiyo hivyo namis kelele zake kitandani
😁😁😁
 
Kwenye hii kada MAPENZI back in days ilikuwa ngumu sana kuizoea,at the end nikajikuta si wa kuhangaika nayo,ukiniacha poa ukirudi,hupati kitu.

Nimejifunza kutokugombana kwa namna yoyote (BINADAM TUNATEGEMEANA) hivyo ninayempenda akiona siwezi kuwa muhimili wa kutegemewa na yeye,atafute mwingine atakayeweza kumtegemea.

Ingawa pia mapenzi ya sasa hivi haijalishi mbali au karubu ni UPUMBAVU tu.

All in all haina haja ya ku-give up,Unapopitia changamoto haimaanishi ndio mwisho wako.

Nimemaliza🦅
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…