Uko wapi 😀😀?Pamoja na yote hakikisha muda wote umeshiba hata wakati unapigwa chini uwe umeshiba.......
Nitakupigia nipo kanisani 😂😂😂Uko wapi 😀😀?
Bro aliyekupa platinum membership ana nafasi yake peponi,una madini heavyweight 😀😀Nitakupigia nipo kanisani 😂😂😂
Kwenye Ile Ile voda.Nitakupigia nipo kanisani 😂😂😂
Weeeeee Maxence Melo peponi moja kwa moja, siti yake iwe na charger na free WiFi 😀Bro aliyekupa platinum membership ana nafasi yake peponi,una madini heavyweight 😀😀
Kitimoto🤣🤣🤣Pamoja na yote hakikisha muda wote umeshiba hata wakati unapigwa chini uwe umeshiba.......
Inategemea kuna ya pande zoteNataka kuuliza swali, hivi hayo maumivu huwa pande zote? Maana nahisi unaweza kuwa na maumivu kwa mtu bila kujuwa hata hayajuwi hayo maumivu.
Aaah kiranga🙌🙌🙌Maadam unaandika kwa maombi, naomba uandike kwa sisi ambao hatuna tatizo la ku move on, ila tuna tatizo la kung'ang'aniwa na ma ex ambao hawataki kuavhwa, hata wakiwa blocked wanabadili simu na kutusumbua.
Kamroge🤣🤣Bro weka mbwinu, haipendezi kuteseka.....
🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🤣Daah kwenye doggy hapo 😂😂
Enwei, kukaa kinyonge sio sawa
Lete mbwinuHiyo mbwinu ni sensitive bro hali ya hewa itaharibika 🏃♀️🏃♀️
Hapa haifaiii mahi😅Lete mbwinu
Lete hata🏃♀️🏃♀️🏃♀️
🤣🤣🤣
Waganga nao wanateseka na mapenzi si kitotoKamroge🤣🤣
🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️Waganga nao wanateseka na mapenzi si kitoto
Wapi inafaa ssHapa haifaiii mahi😅
Chumbani hapa uwanjani haifaiWapi inafaa ss
Duh 🤣
KabisaBrother, Mapenzi/mahusiano ya kimapenzi hayana formula maalum....
SawaChumbani hapa uwanjani haifai
Njoo baby girl 🤗Sawa
Naona mume wangu ananileyea mambo meusi itabidi nije Unipe mbinu🤣