Hatua za Kupata Leseni na kufanya Biashara ya Kuuza Nafaka (Mazao)

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888

​

1*G3ZLW9x8pFlPWJ-fpYW-Tg.png

Haijalishi hali ya kiuchumi ni mbaya kiasi gani, chakula hubaki kuwa hitaji la msingi kwa kila mwanadamu. Katika mahitaji ya binadamu, nafaka na mazao ya chakula ndiyo ya mwisho kupoteza thamani yake sokoni. Hii ina maana kwamba biashara ya kuuza na kununua mazao ya chakula (mahindi, mchele, unga, maharage, ngano, sukari, mafuta ya kula n.k.) hubaki kuwa miongoni mwa biashara zenye uhakika zaidi.

Ngazi za Biashara ya Mazao​

  1. Ngazi ya Kaya
    Hapa ndipo wakulima wadogowadogo huzalisha kwa ajili ya familia na ziada kidogo kuuza sokoni.
  2. Ngazi ya Wakulima Wakubwa na Makampuni
    Wao hulima kwa wingi kwa ajili ya biashara, kuuza ndani na hata nje ya nchi.
  3. Ngazi ya Usindikaji na Uuzaji
  • Baadhi hununua nafaka kisha husaga au hukoboa (mfano: mahindi kuwa sembe/dona).
  • Wengine hujikita kwenye vifungashio na kuweka nembo.
  • Wengine hufungua maduka ya kuuza mazao kama mchele, unga, maharage na mafuta ya kula.

Hatua Muhimu za Kuanza Biashara ya Mazao​

Ili kufanya biashara kihalali, unahitaji kupata Leseni ya Biashara.

  • Leseni hizi hutolewa kwa mujibu wa Sheria ya Leseni ya Biashara Na. 25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake.
  • Kuna leseni kundi A (kwa biashara kubwa za kitaifa/kimataifa) na kundi B (kwa biashara za kawaida ikiwemo maduka ya rejareja na jumla ya nafaka).
  • Kupata leseni, unatakiwa kuwa na nyaraka muhimu kama TIN, cheti cha usajili wa kampuni au jina la biashara, mkataba wa pango (ikiwa umeweka duka), na Tax Clearance Certificate

Kibali cha Biashara ya Nafaka​

Kwa upande wa biashara ya nafaka, kibali kinaweza kuhitajika wakati unapoanza kufanya biashara za mpito (mfano: kusafirisha nafaka kutoka kijijini kwenda sokoni), au pale unapohitaji idhini ya mamlaka za usalama wa chakula (mfano kutoka TBS au TFDA/TDFA) ili kuhakikisha mazao yako yanakidhi viwango vya ubora na usafi kabla ya kuingizwa sokoni.

Umuhimu wa Leseni ya Biashara​

Kuwa na leseni ya biashara ya nafaka kunakuletea faida zifuatazo:

  • Unatambulika kisheria na kulindwa ili usifungiwe duka lako.
  • Inakusaidia kufungua akaunti ya biashara benki.
  • Ni nyaraka muhimu unapohitaji mkopo taasisi za kifedha.
  • Unakuepusha na usumbufu wa mamlaka.
  • Unachangia kukuza pato la taifa kupitia kodi.

Kama tayari umetimiza masharti haya yote, basi usipoteze muda.
Victoria Agency ipo kwa ajili ya kukusaidia kupata leseni ya biashara yako haraka na bila usumbufu. Tunakusaidia kuandaa nyaraka, kufuata taratibu na kuhakikisha unapata kibali cha kuendesha biashara yako kwa uhalali.

📍 Fika ofisini kwetu au
📞 Piga simu sasa hivi kupitia +255693880325.
 
Hii leseni ni tofauti na kibali cha kusafirisha mazao nje ya nchi hasa afrika mashariki?
 
Shukrani

Back
Top Bottom