Hatua zilizochukuliwa na Kenya, bado hazitosaidia kupunguza maambukizi mapya.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Wana jamaa, ninatanguliza ushauri wangu wa kitaalamu kuhusu kupunguza maambukizi ya corona nchini Kenya. Hatua aliyochukua rais Uhuru Kenyatta kupiga marufuku watu kuingia na kutoka katika miji ya Nairobi, Mombasa na majimbo ya Kwale na Kilifi bila kuweka ya " total lockdown " ndani ya hayo maeneo, haiwezi kuzuia idadi ya watu watakaoambukizwa kupungua.

Hii amri itasaidia kuzuia maambukizi kuenea katika miji na majimbo mengine ya Kenya, lakini ndani ya jiji la Nairobi na Mombasa, Kilifi na Kwale maambukizi yataendelea.

cc. Tony254
Mwaswast

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Total lockdown ni muhimu kifupi cha hapo ni sawa na kupambana na mbu katika makazi yako bila ya kushughulika na mazalio yao katika makazi hayo.

Rwanda na South Africa ni madume kweli kweli. Madume ya mbegu. Hayana cha kumkopesha Corona, yanakiri makosa kwenye kumruhusu kuingia nchini. Ila yamedhamiria kweli kumwangamiza si kwa mapambio wala bongo fleva:

South Africa na Rwanda mataifa yaliyodhamiria kuondokana na Corona - JamiiForums

Hii ya Kenya ni sawa na ya Uganda. Partial lockdown haisaidii. Shida wanakuwa pia wanakodolea macho uchumi. Yaani kisebu sebu na kiroho papo.

Mipango mingine yote ikiwamo ya uchumi inakuja tu tukivuka Corona salama.

Yale yale ya kuchapa kazi, ya bunge kuendelea, nk. Bunge anaendelea kupanga bajeti ipi? Anatambua bila ya kudhibiti Corona, tunaweza kutoweka?

Haya si ndiyo ya kupewa lifti kwenye gari la polisi?

Corona ni uzembe wetu isingetufikia, na itatumaliza tusipoamka sasa - ukweli mchungu - JamiiForums

Namna pekee ya kuzuia Corona virus kusambaa - JamiiForums

Watu kusalia majumbani (total lockdown) hakuepukiki, ndiyo njia pekee ya uhakika itakayo tunusuru na kusambaa kwa Corona nchini - JamiiForums
 
Tanzania imefanya lockdown ?? ama ni mbwe mbwe za Uncle Magu
 
Mchango mzuri....ni wazi lockdown tu ndo suluhisho na ingekua vyema kabla maambukizi hayajakua mengi kupindukia
Total lockdown ni muhimu kifupi cha hapo ni sawa na kupambana na mbu katika makazi yako bila ya kushughulika na mazalio yao katika makazi hayo.

Rwanda na South Africa ni madume kweli kweli. Madume ya mbegu. Hayana cha kumkopesha Corona, yanakiri makosa kwenye kumruhusu kuingia nchini. Ila yamedhamiria kweli kumwangamiza si kwa mapambio wala bongo fleva:

South Africa na Rwanda mataifa yaliyodhamiria kuondokana na Corona - JamiiForums

Hii ya Kenya ni sawa na ya Uganda. Partial lockdown haisaidii. Shida wanakuwa pua wanakodolea macho uchumi. Yaani kisebu send na kiroho papo.

Mpango mingine yote ikiwamo ya uchumi inakuja tu tukivuka Corona salama.

Yale yale ya kuchapa kazi, ya bunge kuendelea, nk. Bunge anaendelea kupanga bajeti ipi? Anatambua bila kudhibiti Corona, tunaweza kutoweka?

Haya si ndiyo ya kuprwa lifti kwenye gari la polisi?

Corona ni uzembe wetu isingetufikia, na itatumaliza tusipoamka sasa - ukweli mchungu - JamiiForums

Namna pekee ya kuzuia Corona virus kusambaa - JamiiForums

Watu kusalia majumbani (total lockdown) hakuepukiki, ndiyo njia pekee ya uhakika itakayo tunusuru na kusambaa kwa Corona nchini - JamiiForums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchango mzuri....ni wazi lockdown tu ndo suluhisho na ingekua vyema kabla maambukizi hayajakua mengi kupindukia

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu Ramaphosa kasema sana hili.

Viongozi wetu sijui kwa nini wameziba masikio yao hivi.

Mapema ilikuwa sawa zaidi haieleweki wanasubiri wanasubiri nini?
 
Hiyo ni kweli, maana unalinda miji ya pembezoni lakini hulindi walio ndani ya mji husika
 
How comes 2 people from Tanga got infected without any travel history?
Where did they get the virus from?
We're it not for authorities from Zanzibar bado mngekuwa mnaficha ukweli.
Transmission is ongoing undetected in Tanzania .
 
Alafu mnasema mna dhibiti Wageni kwa kuwaweka kwenye mandatory quarantine.

How comes there are less than 300 people in Quarantine?

Ama mnataka kumaanisha Only Less than 300 people wameingia Tanzania for all that time wakati you have not yet closed your borders?
nimeona Jana ndo mmeanza kutenga Quarantine facilities.Kumbe wakati huo wote viongozi wenu walikuwa wanawachezea tu.
Lakini tuna waelewa you are very obsessed with Kenya .
 
Sikiliza kwa makini
Mtu wa kwanza alitoka Tanga tarehe 13 March, na amegundulika akiwa na virusi 4 April, hizo ni siku 21 tangu ametoka Tanga, uwezekani wa kwamba amepata virusi akiwa Tanga ni kama haupo.

Mwengine ametoka Tanga 18 March, amegundulika 4th April, hizo ni zaidi ya siku 16 ndio amegundulika, kama angewekwa karantini ya siku 14 tangu siku aliypingia Zanzibar, angemaliza kukaa karantini na kuachiliwa, huyu uwezekano wa kupata maambukizi Tanga ni kama 30%.

Kwasababu hatutaki kupuuzia jambo lolote, familia zao za Tanga zipo chini ya uangalizi, na zoezi la kunyunyiza dawa Tanga linaanza hivi karibuni.

These guys are jokers at another level.. North korea of East Africa.. Their president can say they have defeated corona.. Being tested positive then becomes a crime..
 
Kama uwezekano ni 30percent where did the virus come from ?
The point is that they have not travelled outside the country.
 
Inaonekana upo very bitter and confused which take you to the depression, here are statistics:

1) 289 finished mandatory 14 day quarantine and released
2) 146 are currently under quarantine
3)389 under close follow up.

Kuhusu maeneo maalumu yaliyotangaza, mwanzoni walikua wanaishi katika Hotel maalumu zilizochaguliwa na mikoa husika, lakini wengi walilamika ni ghali sana hawana uwezo, lakini pia jinsi ya kuwadhibiti ilikua vigumu, juzi kati mama mmoja alitiroka toka Hotelini akasafiri hadi Iringa.

Sasa unataka kumaanisha for all those days you have only received 300people from outside your country.?..... yet hamjafunga mipaka yenu🤣
 
Quite the opposite buddy, on the contrary, North Korea locks up her citizens from down to dusk, some! tribal leaders in East Africa are already doing exactly that... close to home🙂

These guys are jokers at another level.. North korea of East Africa.. Their president can say they have defeated corona.. Being tested positive then becomes a crime..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unataka kumaanisha for all those days you have only received 300people from outside your country.?..... yet hamjafunga mipaka yenu[emoji1787]
Yes, kwasababu ndege nyingi zilisitisha safari zake, na nchi nyingi zilizuia raia wake kusafiri.

Sasa hivi hatupokei kabisa raia wa kigeni, japo hatujafunga mpaka wowote, kwanini hujiulizi hilo, watafikaje wakati hakuna ndege zinazokuja nchini?. Pia raia wengi wameamua kubaki katika nchi zao hawasafiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uwezekano ni 30percent where did the virus come from ?
The point is that they have not travelled outside the country.
Possibly they have infected while they are in Zanzibar, remember that, majority of Tanzanians from mainland work in tourists places in Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yuko wapi huyu mtaalam aje atuelimishe jinsi ya kupambana na corona 😂 😂 😂 😂 sije akawa ye ni mmoja wao wa wale 84 wa leo ama wale 53 wa juzi
 
Back
Top Bottom