Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Wala salama. Za mwaka mpya sio mda wake .
Bi msumi wala asingejichosha kuongea maana sijaona la.maana
Zaidi ya kutukumbusha machungu ya October 29,30 and 31 October.
Eti tume ya maridhiano.
Umeharibu nchi ,alafu unataka kuridhiana ,swali dogo ulikuwa hujui unachofanya kwamba huko unakoelekea sio sawa
Hakuna maridhiano hapa ,tupe majibu nani kawaambia walinzi wako waue ndugu zetu