Son of Israel from Africa
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 2,006
- 2,963
Kuna kitu hakipo sawa... ni kama vile AImbona kwenye detection inaonesha 73 percent ni fabricated mmmmh
Nyie mlidhani mkivunja, kuiba, kupora na kuua askari wetu angewaacha tu.Alidhani akiua watu ndio ataogopwa
simpendi
rudia rudia yale yaleNi nyie tu TEC na chadema ndo hamjavutiwa......na hilo lilitarajiwa. Sisi wengine tumevutiwa kinoma na hotuba ya jemedari wetu wa taifa letu pendwa la Tanzania, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania.
Ameanza mwaka mpya vema kabisa na tunamtakia Kila la kheri na tutampa ushirikiano wote unaphitajika katika kulitumikia taifa hili.
Nyie kusema mmpegiwa kura 32m ni sawaNyie mlidhani mkivunja, kuiba, kupora na kuua askari wetu angewaacha tu.