Hatujaona mtu akizimia Uingereza, kwenye msiba wa fulani hapa Tanzania kulikuwa na FUTUHI ya watu kuzimia

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.

...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.

...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.

Katika_Historia__Pamoja_na_kwamba_ALIZIMIA_baada_ya_kuuona_mwili_wa_mpendwa_wetu_MFUKO_hak.. (1).jpg

...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.

Uingereza kumetokea msiba wa malkia Elizabeth II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.

Legacy imebuma.
 
Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.

...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.

Uingereza kimetokea msiba wa malkia II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.

Legacy imebuma.
Hivi wewe huwezi kuishi bila kumtaja Magufuli!
 
Waingereza wameshindwa hata kutandika khanga barabarani wakati msafara wa msiba wa Malkia ukipita! Sijapenda kwakweli.

Afu mbona hawajamzungusha Malkia kutoka London kwenda majiji mengine kama vile Birmingham, Manchester nk...Sijapenda
 
Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.

...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.

Uingereza kimetokea msiba wa malkia II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.

Legacy imebuma.
Hapa kwetu walilia na kuzimia sababu walijua baada ya kuondoka yule bwana yafuatayo yanakuja na yametimia;
1. Kuondolewa maeneo ya biashara
2. Kulipishwa kodi za kichwa[tozo]
3. Rushwa kurudi kwenye huduma za afya na nyingine za msingi.
4. Uhalifu utarudi
5. Mateja wanarudi.
6. Gharama za maisha zita shoot

Huko kwa malkia umesikia mtu kakosa huduma ya afya kwa kukosa fedha?

Au panyaroad?

Au tozo?

Au bidhaa kupanda maradufu sababu ya vita ya urusi?

Au watu kuruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao?
 
Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.

...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.

...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.

...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.

Uingereza kimetokea msiba wa malkia II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.

Legacy imebuma.
Ni zaidi ya mwaka sasa ila jamaa amekua unforgettable hata kwa wale ambao kwao kumpinga ilikua ajira, sasa hawana topic inabidi waendelee kumsema... kama mleta mada, mashine ya JPM bado inapenya na kusugua kunako...
 
Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.

...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.

...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.

...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.

Uingereza kumetokea msiba wa malkia II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.

Legacy imebuma.
😃😃😃😃😁😁😁😁
 
download.jpeg

Huyu wa kwetu alikuwa Mtakatifu. Kuzimia ilikuwa muhimu
 
Ni zaidi ya mwaka sasa ila jamaa amekua unforgettable hata kwa wale ambao kwao kumpinga ilikua ajira, sasa hawana topic inabidi waendelee kumsema... kama mleta mada, mashine ya JPM bado inapenya na kusugua kunako...

CHUMA
 
Mbona wamezimia wengi tu hukuona mlinzi wake alidondoka mbele ya kamela mzee
 
Back
Top Bottom