RWANDES
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,788
- 4,401
hili ni jibu tosha kwa watu wanaosifu na kuabudu mambo ya kishambaHapa kwetu walilia na kuzimia sababu walijua baada ya kuondoka yule bwana yafuatayo yanakuja na yametimia;
1. Kuondolewa maeneo ya biashara
2. Kulipishwa kodi za kichwa[tozo]
3. Rushwa kurudi kwenye huduma za afya na nyingine za msingi.
4. Uhalifu utarudi
5. Mateja wanarudi.
6. Gharama za maisha zita shoot
Huko kwa malkia umesikia mtu kakosa huduma ya afya kwa kukosa fedha?
Au panyaroad?
Au tozo?
Au bidhaa kupanda maradufu sababu ya vita ya urusi?
Au watu kuruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao?