Hatujaona mtu akizimia Uingereza, kwenye msiba wa fulani hapa Tanzania kulikuwa na FUTUHI ya watu kuzimia

Hatujaona mtu akizimia Uingereza, kwenye msiba wa fulani hapa Tanzania kulikuwa na FUTUHI ya watu kuzimia

Hapa kwetu walilia na kuzimia sababu walijua baada ya kuondoka yule bwana yafuatayo yanakuja na yametimia;
1. Kuondolewa maeneo ya biashara
2. Kulipishwa kodi za kichwa[tozo]
3. Rushwa kurudi kwenye huduma za afya na nyingine za msingi.
4. Uhalifu utarudi
5. Mateja wanarudi.
6. Gharama za maisha zita shoot

Huko kwa malkia umesikia mtu kakosa huduma ya afya kwa kukosa fedha?

Au panyaroad?

Au tozo?

Au bidhaa kupanda maradufu sababu ya vita ya urusi?

Au watu kuruhusiwa kula kwa urefu wa kamba zao?
hili ni jibu tosha kwa watu wanaosifu na kuabudu mambo ya kishamba
 
mtu ashakufa bado mkimkumbuka matako yaanawatetemeka[emoji23][emoji23][emoji23] ashawatia vidole nn
 
Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.

...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.

...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.

View attachment 2362041

...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.

Uingereza kumetokea msiba wa malkia Elizabeth II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.

Legacy imebuma.
Mtu anazimia huku amekamatia mfuko usidondoke 😄😂😂😂
 
JPM na huyo mtu wenu wa Uingereza nani zaidi?
JPM alikuwa ni Rais kweli kweli na mkombozi wa kweli wa Watanzania.
RIP, JPM BABA YETU MPENDWA.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
😁😁😁
40406038.jpg
 
Back
Top Bottom