Hivi wewe huwezi kuishi bila kumtaja Magufuli!Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.
Uingereza kimetokea msiba wa malkia II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.
Legacy imebuma.
Mm sijataja mtu. Umejuaje kuwa ni yeye?Hivi wewe huwezi kuishi bila kumtaja Magufuli! Very stupid thread!
Yesu ni shetani,?maana hutajwa sanaMm sijataja mtu. Umejuaje kuwa ni yeye?
Lkn kwa kawaida mtu muovu hutajwa Sana. Ndiyo maana shetani hutajwa Sana na wanadamu
Hapa kwetu walilia na kuzimia sababu walijua baada ya kuondoka yule bwana yafuatayo yanakuja na yametimia;Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.
Uingereza kimetokea msiba wa malkia II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.
Legacy imebuma.
Alipora, aliteka na kuuwa watanzania wenzangumagufuli sijui alikufanya aje!!!!!!
Wewe taahira tu unamatatizo ya akili! Magufuli alikutesa akiwa hai na bado mfu anakutesa!Alipora, aliteka na kuuwa watanzania wenzangu
Naona walioigiza kufa na kuzimia wameanza kuhitokeza kujibu uzi huuYaani ni kama taahira mtu mzima anajikunyata kuandika ugoro! Mpuuzi kweli huyo jamaa!!
Ni zaidi ya mwaka sasa ila jamaa amekua unforgettable hata kwa wale ambao kwao kumpinga ilikua ajira, sasa hawana topic inabidi waendelee kumsema... kama mleta mada, mashine ya JPM bado inapenya na kusugua kunako...Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.
Uingereza kimetokea msiba wa malkia II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.
Legacy imebuma.
Mtekaki, muuaji na mporaji shuruti alaaniwe.Wewe taahira tu unamatatizo ya akili! Magufuli alikutesa akiwa hai na bado mfu anakutesa!
ππππππππKuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.
Uingereza kumetokea msiba wa malkia II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.
Legacy imebuma.
Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.
Uingereza kumetokea msiba wa malkia II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.
Legacy imebuma.
Muuaji, mtekaji na mporaji kamwe hawezi kuwa mtakatifuView attachment 2361941
Huyu wa kwetu alikuwa Mtakatifu. Kuzimia ilikuwa muhimu
Ni zaidi ya mwaka sasa ila jamaa amekua unforgettable hata kwa wale ambao kwao kumpinga ilikua ajira, sasa hawana topic inabidi waendelee kumsema... kama mleta mada, mashine ya JPM bado inapenya na kusugua kunako...