Hatujaona mtu akizimia Uingereza, kwenye msiba wa fulani hapa Tanzania kulikuwa na FUTUHI ya watu kuzimia

Punguani wa design hii ni wa kupuuzwa.
 
Aisee! Wewe!

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
2015 & 2020. Kama unapinga leta ushahidi hapa, siyo porojo.
Unataka ushahidi wa Masaki ya Kinana , January , Nape na Kipilimba au unataka ushahidi wa Dr Mahera , Mambosasa , Polepole , Jiwe na Bashiru ?

Toa Mwongozo , ushahidi wote umehifadhiwa .
 
Kuzimia huku kwetu na lishe pia , watu wanaenda kuaga mwili bila kupata Breakfast ! Halafu tulitangaziwa walikufa watu 45 ! Ndo hayo hayo watu walienda bila kula , watu wana moyo walichapa mguu wengine kuanzia St peter mpaka Taifa eti wanaaga ! 😁😁😁 wabongo !!!

Watu wanatembea na magonjwa , hizo pilika pilika lazima yaonekane ufe , ukibahatika upoteze fahamu
 
Huu UZI mahususi kuzima ishu ya Bi KIZIMKAZI kupandishwa school bus kule uingereza.
 
uingereza kwanza hawaamini sana mambo ya dini.kwao kifo ni kitu cha kawaida ndo maana hata kupigana risasi hadharani kwao ni kawaida.hao hawana hofu ya Mungu lkn afrika sisi ni wacha Mungu na tuna hofu ya Mungu hivyo kuona watu wakizimia ni jambo la kawaida hata katika levo za familia za kawaida,tunapofiwa na wapendwa wetu huwa tunazimia.hayo pia yamedhirishwa hata kwenye vitabu vya sosholojia.msome thomas martus.(why people comit suicide) utapata pia majibu ya hoja zako.
 
Yale mambo ya kutembeza mwili wa marehemu kama unatangaza biashara, ulikuwa ni ujinga wa hali ya juu. Aliyepanga hayo lazima ana aina fulani ya uwendawazimu.

Dunia nzima iliishangaa Tanzania. Yaani mnauzungusha mwili wa marehemu nchi nzima ili ufanye nini? Au ilikuwa njia ya kuhalalisha wizi wa fedha za Serikali?

Tanzania, kadiri siku ziendavyo tunazidi kushuhudia ongezeko la watu wenye akili ndogo Serikalini. Upumbavu ule wa kutangaza maiti nchi nzima haukufanyika enzi za Karume wala Nyerere. Yaani viongozi wa wakati ule, ni dhahiri walikuwa na akili kuliko wa nyakati hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…