Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Huko tulishatoka kitambo wanaume maisha yanaendelea. Nyie wadada wengi mnaweka sana mambo moyoni.Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
View attachment 2362041
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.
Uingereza kumetokea msiba wa malkia Elizabeth II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.
Legacy imebuma.
hahahaha..wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki
Alipora, aliteka na kuuwa watanzania wenzangu
Kama alikuwa kero/wa hovyo kwa nn asitajwe jaribu kujikita kwenye mada wala hutoona kama katajwa
Yale mambo ya kutembeza mwili wa marehemu kama unatangaza biashara, ulikuwa ni ujinga wa hali ya juu. Aliyepanga hayo lazima ana aina fulani ya uwendawazimu.
Dunia nzima iliishangaa Tanzania. Yaani mnauzungusha mwili wa marehemu nchi nzima ili ufanye nini? Au ilikuwa njia ya kuhalalisha wizi wa fedha za Serikali?
Tanzania, kadiri siku ziendavyo tunazidi kushuhudia ongezeko la watu wenye akili ndogo Serikalini. Upumbavu ule wa kutangaza maiti nchi nzima haukufanyika enzi za Karume wala Nyerere. Yaani viongozi wa wakati ule, ni dhahiri walikuwa na akili kuliko wa nyakati hizi!
Tena shida kubwa kweli kweliWaafrica tuna shida mahali aisee
[emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Ila bongo Kuna vituko sana, eti mtu anazimia huku kang'ang'ania mfuko wa samaki,yaani mkono ambao haujashika kitu umelegea ila wenye samaki umekaza balaa
Wewe alikuteka lini, alikupora nn, alikuua lini????Muuaji, mtekaji na mporaji kamwe hawezi kuwa mtakatifu
Wewe mpumbavu sana, inaelekea Nyerere alipofariki ulikuwa hujazaliwa. Watu walianza kuzimia toka airport na wengine kufariki kwa mshtuko wa kuona jeneza.Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
View attachment 2362041
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.
Uingereza kumetokea msiba wa malkia Elizabeth II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.
Legacy imebuma.
🤣🤣Waingereza wameshindwa hata kutandika khanga barabarani wakati msafara wa msiba wa Malkia ukipita! Sijapenda kwakweli.
Afu mbona hawajamzungusha Malkia kutoka London kwenda majiji mengine kama vile Birmingham, Manchester nk...Sijapenda
Ndo mzungushe maiti nchi nzima? Lilikuwa jambo la aibu sana lile. Akili za kihawani kabisa Ile.Tofautisha miaka 60s vs 96 !
Sisi tulimpenda rais wetu vs wao wamechoshwa na ufalme!
Rais wetu tulimchagua kwa kura vs malikia alipigiwa kura na nani?
Wazungu hawana vijiji, wana mitaa. Wanakijiji wa kudanganywa kule hawapo.Umeshawahi kuona hata kwenye misiba ya wazungu watu wakilia na kuzimia? Umeshawahi kuona kwenye misiba ya wazungu ikihudhuriwa na majirani wanakijiji ndugu jamaa na marafiki wa karibu? Jibu ni Hapana,Jambo ambalo si jema na kwa hili waafrica hatuna budi kujipongeza kwa upendo ukaribu na umoja miongoni mwa jamii zetu.Msiba wa nyumba moja ni msiba wa jamii na watu huonyesha hisia zao kwa vilio! upendo ambao haupo huko kwa wenzetu.Kwa hiyo si kila jambo kutoka Afrika ni baya!
wewe zwazwa na yeye nani aliemtaja MEKO?Hivi wewe huwezi kuishi bila kumtaja Magufuli!
Wataje kwa majina na anuani zao za makazi.Alipora, aliteka na kuuwa watanzania wenzangu
Bibi wa miaka 96 ni mtu mzima sana. Yule aliyesababisha maigizo kutoka kwa baadhi ya watu alikuwa na miaka 61 tu.Kuna mtu fulani alifariki hapa Tanzania, basi futuhi ya kuacha legacy ilikuwa na episodes za kishamba mno.
...wapo waliokufa kwa dakika na kufufukia kwenye machera.
...wapo waliozimia huku wameshika mifuko ya plastiki.
View attachment 2362041
...wapo waliokunywa viroba ili watoe machozi wanapoigiza kulia.
Uingereza kumetokea msiba wa malkia Elizabeth II aliyehudumu kwa Mika 70 kwa mafanikio makubwa lkn hatujaona "wahuni" wakiigiza kufa ama kuzimia.
Legacy imebuma.