Habari wana JF ,
Serikali ya awamu sita imeonyesha dhamira njema katika kuleta maendeleo katika nchi yetu .
Hicho inakusanya kodi kwa nguvu zote na imeongeza kodi na Tozo Mbali mbali ,yote hiyo ni katika kuhakikisha pesa za maendeleo zinapatikana.
Haijaishia hapo imefanikiwa kupata mikopo mbali mbali nje na ndani ya nchi.
Swali linakuja je pesa zetu zinapita mikono salama?
Je huyu mama ntilie anaepata faida ya 4000 katika hiyo elfu 4, 500 inarudi serikalini kwa namna ya kodi au Tozo na jasho lake kuliwa na mtu au kundi la watu tunamtendea haki?
Serikali kodi na tozo tutalipa ila Pesa zetu zitunzwe ,zisiliwe na wachache na Tuone maendeleo .