Kuna video inasambaa akimuonyesha kada wa ccm Bakari akiwa na majeraha makubwa mwilini inasemekana alitekwa na wasiojulikana amepigwa sana yaani hadi vidonda
Kisa alimtetea nchimbi π
Kuna video inasambaa akimuonyesha kada wa ccm Bakari akiwa na majeraha makubwa mwilini inasemekana alitekwa na wasiojulikana amepigwa sana yaani hadi vidonda
Kisa alimtetea nchimbi π
Ameshambuliwa sababu haendani na mapigo wa ngoma ya Kizimkazi. Angekuwa anaendana na hayo mapigo, hadi muda amelishikilia buyu la asali analamba taratiiibu.
Yaani hapo sio CCM isipokuwa Kuna chama kingine ambacho kitakuja julikana baadae. ila kipo ndani ya ccm. Kwahiyo sio vema kuihukumu CCM yote labda mwashamba na Mzee nonsense wake wafafanue kilochomkuta kada mwenzao