Hatukuyazoea maisha ya Polisi na Wanajeshi kutapakaa mitaani, Nani ametufikisha hapa?

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,865
Reaction score
29,608
Watanganyika hatukuzoea maisha haya ya askari polisi na wanajeshi kutapakaa mtaani saa 24 wakishinda kwenye vituo vya mwendokasi na makutano ya Barabara, wakiwa na mitutu ya Bunduki pamoja na magari ya kivita shida kubwa nini hasa?

Tanganyika tumegeuka Somalia au Congo DRC pamoja na nchi nyingine kama hizo ?
 
Watanganyika hatukuzoea maisha haya ya askari polisi na wanajeshi kutapakaa mtaani masaa 24 wakishinda kwenye vituo vya mwensokasi na makutano ya Barabara na mitutu ya Bunduki pamoja na magari ya kivita shida kubwa nini hasa?

Tanganyika tumegeuka Somalia au Congo DRC pamoja na nchi nyingine kama hizo ?
HOFU & VITISHO.
 
Watanganyika hatukuzoea maisha haya ya askari polisi na wanajeshi kutapakaa mtaani masaa 24 wakishinda kwenye vituo vya mwendokasi na makutano ya Barabara, wakiwa na mitutu ya Bunduki pamoja na magari ya kivita shida kubwa nini hasa?

Tanganyika tumegeuka Somalia au Congo DRC pamoja na nchi nyingine kama hizo ?

Sasa vijana wetu waliopo vyombo vya Dola wanafanya kazi.
 
Wakati mwingine hali ngumu tunazopitia kwenye maisha yetu si kwa sababu tunastahili, hapana. Wakati mwingine ni kwa ajili ya kutujenga, kutufundisha, na kutuandaa kwa kile kinachokuja mbele yetu.
 
Watanganyika hatukuzoea maisha haya ya askari polisi na wanajeshi kutapakaa mtaani masaa 24 wakishinda kwenye vituo vya mwendokasi na makutano ya Barabara, wakiwa na mitutu ya Bunduki pamoja na magari ya kivita shida kubwa nini hasa?

Tanganyika tumegeuka Somalia au Congo DRC pamoja na nchi nyingine kama hizo ?
Tunajifunza haya kwa njia ngumu Sana! Shida ilianziq pale tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma
 
7/7 Maandamano kwahiyo wameanza kushindishwa JUANI MAPEMA.
 
Watanganyika hatukuzoea maisha haya ya askari polisi na wanajeshi kutapakaa mtaani masaa 24 wakishinda kwenye vituo vya mwendokasi na makutano ya Barabara, wakiwa na mitutu ya Bunduki pamoja na magari ya kivita shida kubwa nini hasa?

Tanganyika tumegeuka Somalia au Congo DRC pamoja na nchi nyingine kama hizo ?
ccm mtandao.
 
Wakati mwingine hali ngumu tunazopitia kwenye maisha yetu si kwa sababu tunastahili, hapana. Wakati mwingine ni kwa ajili ya kutujenga, kutufundisha, na kutuandaa kwa kile kinachokuja mbele yetu.
Hard times creates strong men.
 
Tunajifunza haya kwa njia ngumu Sana! Shida ilianziq pale tulipoipa siasa thamani kubwa kuliko taaluma
Askari wa Tanganyika kazi yao kulinda maslahi ya watawala tena wasio Watanganyika wala kuwa na uchungu na hii nchi
 
Back
Top Bottom