Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Hicho kikos A kinaitwa kama unafunga nami nafunga yaani ni simple kukifunga ila nacho kukizuia kisipate goli ni ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kati nani atafanya Ukabaji, Nani ataHOLD, Nani attrck mabeki wanaopanda..Kikosi A
1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohammed Hussein
4. Joash Onyango
5. Henock Inonga
6. Sadio Kanoute
7. Kibu Denis
8. Clatous Chama
9. Jean Baleke
10. Moses Phiri
11. Saido Ntibanzokinza
Kikosi B
1. Aishi Manula
2. Israeli Mwenda
3. Mohammed Hussein
4. Joash Onyango
5. Henock Inonga
6. Sadio Kanoute
7. Shomary Kapombe
8. Clatous Chama
9. Jean Baleke
10. Moses Phiri
11. Saido Ntibanzokinza
Ni Vikosi vya Kimkakati, Ushindi na ambavyo vinawafanya Mawinga waje pia Kusaidia Ulinzi huku Wachezeshaji mahiri Chama na Ntibanzokinza wakiwemo.
Najua Kocha Roberto Olivieira anampenda mno Paoe Sakho ambaye Mimi GENTAMYCINE simpendi Siku hizi kutokana na Utoto wake na Sifa nyingi huku akiharibu rythm ya Timu.
Michezaji ambaye kwa Uchezaji wa Waganda wa kutumia Nguvu leo akipangwa au akiingia baadae atatusaidia sana Simba SC ni Kibu Denis na baadae Habib Kyombo.
Naitakia Kila la Kheri Simba SC leo.
Technically inawezekana kabisa tena ndiyo ataisaidia Timu zaidi Kimashambulizi huku akisaidiana Kukaba na Mwenda. Tatizo lenu hamjui Mpira halafu mnakariri Maisha na Mifumo.