Hatumpangii Kocha ila nasi Mpira tunaujua vile vile hivyo tunaomba moja ya Squad hili lianze leo Kampala

Hicho kikos A kinaitwa kama unafunga nami nafunga yaani ni simple kukifunga ila nacho kukizuia kisipate goli ni ngumu
 
Hapo kati nani atafanya Ukabaji, Nani ataHOLD, Nani attrck mabeki wanaopanda..

Wangapi hapo siyo wakabaji?.

Kikosi A hakina balance ya attacking na defense.
 
Sanamu lako lijengwe kwa mkapa
 

Attachments

  • Screenshot_20230225-184240.png
    244 KB · Views: 2
Technically inawezekana kabisa tena ndiyo ataisaidia Timu zaidi Kimashambulizi huku akisaidiana Kukaba na Mwenda. Tatizo lenu hamjui Mpira halafu mnakariri Maisha na Mifumo.

Mm hujijui, mm nimecheza mpira.
Umri wa Kapombe na vile achezavyo hawezi kucheza winga. Hiyo fullback anayocheza hawezi kupanda mara 3 ndani ya dk 30 kupiga kroos na kurudi kukaba..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…