The Priest
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,029
- 258
Sure mkkj.Duh kwa kweli nimesikitika; natumaini swali hili itabidi tumrushie Waziri mkuu na Waziri wa Mambo ya Ndani. I have vested interests katika haya mambo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sure mkkj.Duh kwa kweli nimesikitika; natumaini swali hili itabidi tumrushie Waziri mkuu na Waziri wa Mambo ya Ndani. I have vested interests katika haya mambo.
Hapo kwenye Red inagharimu kweli kweli,nakushauri hata ukiisoma mkuu USIENDE BOT(BENKI KUU YA TANZANIA).Wanajua wenyewe,sijui ni kwanini ni waoga hivyo.
Hao wana tatizo,Mirror-Imaging .Kuna theory moja inaitwa cognitive Trap ya mwanainteligensia aliyebobea anaitwa Heur.He said - one must understand [the foreign leaders'] values and assumptions and even their misperceptions and misunderstandings. ... Too frequently, foreign behavior appears "irrational" or "not in their own best interest.
Kwa wale wanaotafuta vyuo kwa level ya Diploma au kuandaa mazingira ya Ph.D in governance, ukipata vyuo vizuri kama Mercyhurst College Institute for Intelligence Studies (MCIIS). Hiki kiko Pennyslevania,US na Brunel UK ni vyuo vizuri sana
Ofcoz hata mimi najua hakuna degree ya forensic bt ndan ya hizo kozi kuna course za forensic zinafundishwa thats why i have requested for maboresho! Nadhan ideal ya kuanzisha Law Enforcemen degree pale udsm wamelenga ktk kuandaa independent state prosecutors coz hatuna na kwa sasa kazi zao zafanya chini ya DPP ofic. Hii coz inasomwa na mapolisi, uhamiaji, na usalama wa taifa sana pale udsm. Idadi yao ni ndogo na kuna haja ya kuongeza namba ya udahiri!Mkuu hizo bachelor huenda ndani yake kuna somo au course ya forensic lakini si kwamba wanatoa degree ya forensic. I stand to be corrected
Maneno kwamba ww ni mwanausalama yatakuandama sana ktk harakati zako za kisiasa hata kama hayana ukweli. Watz tunawaogopa sana watu hawa wakati kazi pekee wanayofanya ni kulinda viongozi wa magamba. Ni jukumu lako kueleza ukweli ili kupambana na propaganda hzo.
Kuhusiana na topic, ktk kupambana na uhalifu kisayansi, tupo nyuma kama miaka 60 ukilinganisha na mataifa yaliyoendelea. Yaani ukiangalia Medical detectives-on etv ndo unaelewa tupo nyuma kiasi gani. Wakati hapa hatuna hata kozi za diploma, kwa USA forensic experts ni PhD holders with years of experience. Nilisikitika sana kwa jinsi 'serial killer' wa bongo (miezi kadhaa iliyopita) alivyokuwa anatafutwa 'manually'. Mpaka leo kimya, naona wanasubiri aue tena.