Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,627
Sasa wewe mbona hiyo kazi hufanyi unakuja kubwabwaja huku mtandaoni? Nainaonesha hauko busy na kazi yako ndio maana upo huku unazurura tu, Anza wewe kupunguza mambo yasiyo ya msingi onlineWatanzania hatuko busy, hatuna kazi za kufanya, kila sekunde mtu yupo online Tweeter, JF, WhatsApp, Instagram, Facebook, MB zinaachaje kukauka? Si asubuhi, si mchana, si usiku, unakuta mtu anapost/kuview status, anaingia mtandaono kucheck videos, kwanini MB zisiishe?
Wafanyakazi wengi wa umma huko maofisini hawafanyi kazi ndugu zangu, they are very slack, si wakubwa, si wadogo! Kwa mtu aliye busy na kazi zake muda mwingi, atapata wapi muda wa kuwa kwenye social media?
MB 500 kwa wiki zinatosha sana kwa mtu aliye busy na kazi zake.
Tufanye kazi, tuache kulalamika. Tupunguze mambo yasiyo ya msingi online.
Kuna watu wengi siku hizi online ndiko wanakotengeneza pesa kwa kuuza vitu au kufanya kazi. Mimi daily lazima nchome walau 2gb kwakuwa ndiko nakopata pesa.Watanzania hatuko busy, hatuna kazi za kufanya, kila sekunde mtu yupo online Tweeter, JF, WhatsApp, Instagram, Facebook, MB zinaachaje kukauka? Si asubuhi, si mchana, si usiku, unakuta mtu anapost/kuview status, anaingia mtandaono kucheck videos, kwanini MB zisiishe?
Wafanyakazi wengi wa umma huko maofisini hawafanyi kazi ndugu zangu, they are very slack, si wakubwa, si wadogo! Kwa mtu aliye busy na kazi zake muda mwingi, atapata wapi muda wa kuwa kwenye social media?
MB 500 kwa wiki zinatosha sana kwa mtu aliye busy na kazi zake.
Tufanye kazi, tuache kulalamika. Tupunguze mambo yasiyo ya msingi online.
Ulipokuwa huna Ajira na Pesa bado ulikuwa na haya Mawazo na huu Msimamo Ndugu? Nasubiri kwa hamu sana Jibu lako japo najua hakuna Watu Wanafiki duniani kama Watanzania.Watanzania hatuko busy, hatuna kazi za kufanya, kila sekunde mtu yupo online Tweeter, JF, WhatsApp, Instagram, Facebook, MB zinaachaje kukauka? Si asubuhi, si mchana, si usiku, unakuta mtu anapost/kuview status, anaingia mtandaono kucheck videos, kwanini MB zisiishe?
Wafanyakazi wengi wa umma huko maofisini hawafanyi kazi ndugu zangu, they are very slack, si wakubwa, si wadogo! Kwa mtu aliye busy na kazi zake muda mwingi, atapata wapi muda wa kuwa kwenye social media?
MB 500 kwa wiki zinatosha sana kwa mtu aliye busy na kazi zake.
Tufanye kazi, tuache kulalamika. Tupunguze mambo yasiyo ya msingi online.
Kwa hio social media ni anasa ..kwamba unataka mtu aingie online asiangalie video? Hivi dunia hii ya tech bado unasema Social media ni anasa ? Una wazazi kweli weweWatanzania hatuko busy, hatuna kazi za kufanya, kila sekunde mtu yupo online Tweeter, JF, WhatsApp, Instagram, Facebook, MB zinaachaje kukauka? Si asubuhi, si mchana, si usiku, unakuta mtu anapost/kuview status, anaingia mtandaono kucheck videos, kwanini MB zisiishe?
Wafanyakazi wengi wa umma huko maofisini hawafanyi kazi ndugu zangu, they are very slack, si wakubwa, si wadogo! Kwa mtu aliye busy na kazi zake muda mwingi, atapata wapi muda wa kuwa kwenye social media?
MB 500 kwa wiki zinatosha sana kwa mtu aliye busy na kazi zake.
Tufanye kazi, tuache kulalamika. Tupunguze mambo yasiyo ya msingi online.
Na sisi onliners je? Maaana huko ndio tunaingiza sikuWatanzania hatuko busy, hatuna kazi za kufanya, kila sekunde mtu yupo online Tweeter, JF, WhatsApp, Instagram, Facebook, MB zinaachaje kukauka? Si asubuhi, si mchana, si usiku, unakuta mtu anapost/kuview status, anaingia mtandaono kucheck videos, kwanini MB zisiishe?
Wafanyakazi wengi wa umma huko maofisini hawafanyi kazi ndugu zangu, they are very slack, si wakubwa, si wadogo! Kwa mtu aliye busy na kazi zake muda mwingi, atapata wapi muda wa kuwa kwenye social media?
MB 500 kwa wiki zinatosha sana kwa mtu aliye busy na kazi zake.
Tufanye kazi, tuache kulalamika. Tupunguze mambo yasiyo ya msingi online.
Well said. Ukiwa na job majoblesa unawaona kama mafala vile.Aliyeshiba hamjui mwenye njaaa hivi kuna mtu hapendi kufanya kazi kweli we kama umepata sehemu unalipwa posho kwa mwezi kausha sio kuleta jeuri yako hapa.
Define busy.Ila kwel ,umeongea ukwel ...ukiwa busy mda wa kuperuzi ni ngumu
Id zake hizo anajijibu hawa watu wa lumumba kuwajibu unajisumbuaDefine busy.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Id zake hizo anajijibu hawa watu wa lumumba kuwajibu unajisumbua