Hatuna kazi, tupo online muda wote ndiyo maana tunalalamika uchache wa MB

Hatuna kazi, tupo online muda wote ndiyo maana tunalalamika uchache wa MB

Huo ndio ukweli ukitaka kujua mtu ni mpumbavu kias gani hajitambui, kilasiku anaanzisha Uzi mpya Jamii Forum halafu wanaandika upuuzi tu, hapo yupo kakaa kwa shemeji yake zile pesa anazopewa za kununua sukari nyanya mboga ndio anazibania anunue bando... 😅 Halafu anakuja tena mtandaoni kulalamika MB zinaisha haraka... Vijana acheni upumbav tafuteni vibarua mkiendelea kujiita graduates mtaishia kuwa mateja na mashoga majumban kwenu...
 
Back
Top Bottom