Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Itokee bahati mbaya ukapata kifungo cha miaka 20 jela, ni nani ataenda kukuwekea dhamana?psychologist wangu aliniambia hakuna binadamu mwenye akili timamu asiye na rafiki
mtaalam huyo kasema
Dogo umerudi baada ya UE utafaulu kweli? Au ndo ulijibu selfika?psychologist wangu aliniambia hakuna binadamu mwenye akili timamu asiye na rafiki
mtaalam huyo kasema
Wengi tunajiweka kwenye kundi la kuchorana tuUko sahihi sana, kwanza marafiki ni wa kazi gani?
nitafaulu bro, selfika inanihusu vipi tenaDogo umerudi baada ya UE utafaulu kweli? Au ndo ulijibu selfika?
Wengi ni wasaka fursa, watakuwepo ukiwa na kituHakuna rafiki aisee jana tu hapo mshikaji nilieamini ni rafiki yangu kaniibia buku nne
Mbona siku nyingi wote tunajua hivyo?? Ina maana wewe ulikuwa hujui? Pole!Wengi huwa tunajidanganya ya kuwa rafiki yangu ni fulani na fulani; ila kiukweli yule si rafiki bali ni mtu uliyemchagua tu ili kubadilishana naye mawazo.
Kwa umri wa chini ya miaka 40 ni vigumu kuukubali huu ukweli; kwa sababu ni kundi lililopo kwenye ujana na mitindo ya kisasa; ambalo ni kundi lenye marafiki wengi feki.
Kiuhalisia, rafiki atakuwa karibu na wewe hasa pale ndugu na jamaa watakapokugeuka, na atayabeba matatizo yako kama ni ya kwake.
Nawasilisha
Imeniuma sana yani😭 kutwa nzima nahangaika kutafuta ridhiki afu anakuja kuniibia kizembe tuWengi ni wasaka fursa, watakuwepo ukiwa na kitu
kifungo hakina dhamanaItokee bahati mbaya ukapata kifungo cha miaka 20 jela, ni nani ataenda kukuwekea dhamana?
Sitaki marafiki siwataki noo.Wengi huwa tunajidanganya ya kuwa rafiki yangu ni fulani na fulani; ila kiukweli yule si rafiki bali ni mtu uliyemchagua tu ili kubadilishana naye mawazo.
Kwa umri wa chini ya miaka 40 ni vigumu kuukubali huu ukweli; kwa sababu ni kundi lililopo kwenye ujana na mitindo ya kisasa; ambalo ni kundi lenye marafiki wengi feki.
Kiuhalisia, rafiki atakuwa karibu na wewe hasa pale ndugu na jamaa watakapokugeuka, na atayabeba matatizo yako kama ni ya kwake.
Nawasilisha
Kupindua mezakifungo hakina dhamana
Wakati mwingine ni vizuri kuishi mwenyewe mwenyewemi hata hao wa kubadilishana nao mawazo sina
Ni kuishi nao kwa akili tuNilipo jifunza kutofautisha kati ya rafiki na mtu wa karibu..... kuanzia pale mwanadam hajawahi kunisumbua.
Sawa dogo Kama utafaulu ntafurahnitafaulu bro, selfika inanihusu vipi tena