Hatuna marafiki, bali tuna watu wakubadilishana nao mawazo tu

Hatuna marafiki, bali tuna watu wakubadilishana nao mawazo tu

Kuwekewa dhamana Si kipimo cha urafiki,,,kwani jela NI Kwa ajili ya nani au ndio kipimo cha urafiki??unawezafungwa ukaenda mpata rafiki wa kweli huko huko jela,,Maisha yana misingi yake kaka
Itokee bahati mbaya ukapata kifungo cha miaka 20 jela, ni nani ataenda kukuwekea dhamana?
 
Kuwekewa dhamana Si kipimo cha urafiki,,,kwani jela NI Kwa ajili ya nani au ndio kipimo cha urafiki??unawezafungwa ukaenda mpata rafiki wa kweli huko huko jela,,Maisha yana misingi yake kaka
Kipimo chako cha urafiki ni nini?
 
Huyo unaemuita rafiki ndio anamla mkeo/mpenzi, akakutakia mabaya, anachukia mafanikio yako, anakusema vibaya kwa watu. Ni bora adui ambae unamjua, kuliko adui
ambae ni rafiki.
 
Nafikiri watu wachache wanaweza elewa Hili somo mpaka yakufike.Rafiki yangu ni pesa yangu na mama watoto wangu.
 
Back
Top Bottom