Hatuna nia mbaya: Sammata baki Genk. Uingereza ngumu sana kwako. Uturuki kule kuna madogo wa west Africa kibao alaf under 19

Lukaku unamwona kibonde? Angalia stats zake. Kacheza ubelgiji msimu mmoja mechi 53 na magoli 29. Average 1.8.
Sammagoal wetu [emoji16] msimu 2015-16 (match 16 magoli 4). 2016-17 (match 35 goal 12) 2017-18 (match 30 goal 7) 2018-19 (match 38 goal 23). Tuseme msimu uliopita ndo ulikuwa msimu mzuri kwake. Lukaku premier league ana goal 113. Acha kufananisha lukaku wa 80m na huyo jamaa wa 10m. Wote wana 26yrs ila mbingu na nchi
Mkuu unataja hadi na msimu ambao amesotea bench na kumrank na mtu aliyecheza daily?
Mbona husemi msimu ulioisha Samatta ana goli ngapi na Lukaku ana ngapi?... (Sina maana ya Lukaku mbovu kwa Samatta)
 
Hii nchi yetu inawajinga wengi sana.

Mtu anaemuona Samatta ni mchezaji mzuri tena kwa kiwango cha mpira unaochezwa ulaya bila ya shaka huyo ana matatizo ya Akili.
 
Mkuu unataja hadi na msimu ambao amesotea bench na kumrank na mtu aliyecheza daily?
Mbona husemi msimu ulioisha Samatta ana goli ngapi na Lukaku ana ngapi?... (Sina maana ya Lukaku mbovu kwa Samatta)

Sasa huo msimu uliyopita hayo magoli huyo samatta aliyafunga wapi? na Lukaku anacheza wapi?
 
Nipo kamanda wangu, yani wadau hawa wanataka kunipotezea kamanda wangu kwenye ulingo wa soccer nashauri aende hata Celtic alikotokea Victor wanyama ili siku mambo yakibuma asikose kwa kwenda!

Samatta kwa uchezaji wake watampa majeraha sana kule mimi kama mdau wa soka nashauri aende Celtic au Serie A angalau msimu mmoja
 
Kumbe wanaomtaka hawajui anatoka wapi?.. niliemjibu amejua
Angekuwa top scorer ulaya yote Akapewa na boot ungehoji hapa kuwa yuko wapi au nongwa?
 
Nipo kamanda wangu, yani wadau hawa wanataka kunipotezea kamanda wangu kwenye ulingo wa soccer nashauri aende hata Celtic alikotokea Victor wanyama ili siku mambo yakibuma asikose kwa kwenda!
Samatta kwa uchezaji wake watampa majeraha sana kule mimi kama mdau wa soka nashauri aende Celtic au Serie A angalau msimu mmoja
Mkuu celtic wanamtaka?...
 
Mawazo yangu. Ligi kuu uingereza siyo ligi ya Belgium. Hamna team yakutoa 10m kwa mchezaji wa 25yrs kutoka ligi ya kawaida. He is a winner in a country of less than 3 professionals. Baki Genk piga uefa magoli kama ukiweza watakuona kina Aston Villa. Everton na Leicester ni team kubwa sana goal zao ni Europa.
haya ndio matokeo ya kuuza smartphone 20,000 hadi wachawi kama hawa wanapata nafasi ya kuingia JF
 
Leandro Trossard aliyekuwa anacheza na Samatta Genk now yupo EPL naye ni provider tu sio scorer...sasa kwanini Samatta ashindwe kucheza EPL? Saa zingine kufeli hakutokani na kutokujua...Ahmed mussa,Islam slimani wote ni losers wa EPL ila profile zao ziko gud na ulaya kitambo
 
Samatta popote anacheza maana yupo fit kimwili na kiakili...Anajituma na anajitunza...Ana nidhamu na malengo.
 
Kama EPL ingekuwa wachezaji wote ni wenye vipaji na ufundi basi leo hii tungemshudia Antonio wa west ham akicheza na Tom Ulimwengu JS Soura maana wanafanana staili ya uchezaji hata maumbo pia
 
Tushajua timu yako

Back
Top Bottom