Kitokoo
Member
- Jul 3, 2019
- 52
- 135
Mawazo yangu. Ligi kuu uingereza siyo ligi ya Belgium. Hamna team yakutoa 10m kwa mchezaji wa 25yrs kutoka ligi ya kawaida. He is a winner in a country of less than 3 professionals. Baki Genk piga uefa magoli kama ukiweza watakuona kina Aston Villa. Everton na Leicester ni team kubwa sana goal zao ni Europa.
Umesema uturuki kuna madogo wa u 19 wengi?
Una uhakika na unachokisema