Hatuna nia mbaya: Sammata baki Genk. Uingereza ngumu sana kwako. Uturuki kule kuna madogo wa west Africa kibao alaf under 19

Mkuu unataja hadi na msimu ambao amesotea bench na kumrank na mtu aliyecheza daily?
Mbona husemi msimu ulioisha Samatta ana goli ngapi na Lukaku ana ngapi?... (Sina maana ya Lukaku mbovu kwa Samatta)
 
Hii nchi yetu inawajinga wengi sana.

Mtu anaemuona Samatta ni mchezaji mzuri tena kwa kiwango cha mpira unaochezwa ulaya bila ya shaka huyo ana matatizo ya Akili.
 
Mkuu unataja hadi na msimu ambao amesotea bench na kumrank na mtu aliyecheza daily?
Mbona husemi msimu ulioisha Samatta ana goli ngapi na Lukaku ana ngapi?... (Sina maana ya Lukaku mbovu kwa Samatta)

Sasa huo msimu uliyopita hayo magoli huyo samatta aliyafunga wapi? na Lukaku anacheza wapi?
 
Nipo kamanda wangu, yani wadau hawa wanataka kunipotezea kamanda wangu kwenye ulingo wa soccer nashauri aende hata Celtic alikotokea Victor wanyama ili siku mambo yakibuma asikose kwa kwenda!

Samatta kwa uchezaji wake watampa majeraha sana kule mimi kama mdau wa soka nashauri aende Celtic au Serie A angalau msimu mmoja
 
Sasa huo msimu uliyopita hayo magoli huyo samatta aliyafunga wapi? na Lukaku anacheza wapi?
Kumbe wanaomtaka hawajui anatoka wapi?.. niliemjibu amejua
Angekuwa top scorer ulaya yote Akapewa na boot ungehoji hapa kuwa yuko wapi au nongwa?
 
Mkuu celtic wanamtaka?...
 
haya ndio matokeo ya kuuza smartphone 20,000 hadi wachawi kama hawa wanapata nafasi ya kuingia JF
 
Leandro Trossard aliyekuwa anacheza na Samatta Genk now yupo EPL naye ni provider tu sio scorer...sasa kwanini Samatta ashindwe kucheza EPL? Saa zingine kufeli hakutokani na kutokujua...Ahmed mussa,Islam slimani wote ni losers wa EPL ila profile zao ziko gud na ulaya kitambo
 
Samatta popote anacheza maana yupo fit kimwili na kiakili...Anajituma na anajitunza...Ana nidhamu na malengo.
 
Kama EPL ingekuwa wachezaji wote ni wenye vipaji na ufundi basi leo hii tungemshudia Antonio wa west ham akicheza na Tom Ulimwengu JS Soura maana wanafanana staili ya uchezaji hata maumbo pia
 
Tushajua timu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…