Hatuna nia mbaya: Sammata baki Genk. Uingereza ngumu sana kwako. Uturuki kule kuna madogo wa west Africa kibao alaf under 19

Umesema uturuki kuna madogo wa u 19 wengi?

Una uhakika na unachokisema
 
Kumbe wanaomtaka hawajui anatoka wapi?.. niliemjibu amejua
Angekuwa top scorer ulaya yote Akapewa na boot ungehoji hapa kuwa yuko wapi au nongwa?

UNajua unahitaji kufunga goli ngapi ligi ya Belgium ili kuwa sawi ki point goli la PL?
 
UNajua unahitaji kufunga goli ngapi ligi ya Belgium ili kuwa sawi ki point goli la PL?
Acha kelele.. sio wote waliopo epl ni qualilty ya juu.
Mbwana ana malengo yake hata Genk alisota kupata nafasi na kufanya poa.. (acheni ramli)
 
Nina uhakika yupo katika fake ID humu humu

Mi tangia naijua JF simfahamu msanii hata mmoja mwenye Verified ID ila naamini majority ya wasanii wamo humu
Samatta hayupo.JF halafu ana washauri wengi kuliko.wewe ambaye hata kwenye familia.yako huruhusiwi kutoa maoni so ushauri wako.utaishia hapahapa na utapuuzwa
 
Acha kelele.. sio wote waliopo epl ni qualilty ya juu.
Mbwana ana malengo yake hata Genk alisota kupata nafasi na kufanya poa.. (acheni ramli)

Naweye acha ujinga. Kufungi magoli ligi ya lgium haijaalishi kuwa wewe ni quality. Hebu pita wafungaji wajuu wa ligi ya Beligium wa misimu iliyopita halafu utizame wapo walipo hivi sasa.
 
Naweye acha ujinga. Kufungi magoli ligi ya lgium haijaalishi kuwa wewe ni quality. Hebu pita wafungaji wajuu wa ligi ya Beligium wa misimu iliyopita halafu utizame wapo walipo hivi sasa.
Sio sababu... wachezaji wazuri wengi wanatoka timu au ligi ndogo wanakuja kuwa na mastaa au kung'aa.
Akishindwa hawezi kukosa pakwenda hapo ulaya...(Kwa nini mnaogopa nyie wakati anacheza yeye)
 
Sio sababu... wachezaji wazuri wengi wanatoka timu au ligi ndogo wanakuja kuwa na mastaa au kung'aa.
Akishindwa hawezi kukosa pakwenda hapo ulaya...(Kwa nini mnaogopa nyie wakati anacheza yeye)

tupe mifano wachezaji wakigeni waliotoka ligi ya Belgium halafu wakawa wakafanya vizuri ulaya.

Hao wabelgium wenyewe wengi wao huondoka wakiwa wapo under 20.
 
tupe mifano wachezaji wakigeni waliotoka ligi ya Belgium halafu wakawa wakafanya vizuri ulaya.
Hao wabelgium wenyewe wengi wao huondoka wakiwa wapo under 20.
Umekuwa mungu wa mafanikio ya watu mkuu?
We umeweka 100% hawapo na hawawezi au kwa uchache sana... ( ndio maana d'or afrika anayo mmoja ni vitu ambavyo vinatokea mkuu sio kukariri fulani kafeli wewe huwezi
ngoja ni kuletee list yao
 
umepuyanga arifu..... ni sawa na useme lukaku atasajiliwa na yanga ya tanzania kisa ipo championi ligi,,,,,,,, AU TUSEME LUKAKU NI PAUNDI MILIONI 12 KAMA SAMATA...
 
umepuyanga arifu..... ni sawa na useme lukaku atasajiliwa na yanga ya tanzania kisa ipo championi ligi,,,,,,,, AU TUSEME LUKAKU NI PAUNDI MILIONI 12 KAMA SAMATA...
Hahaha lukaku ka flop sasa hivi; ukweli usemwe. Man utd ni timu kubwa sana kwa lukaku ndio mana nashindwa kudeliver.

Nyie ndio mliomua kumkuza; lakini lukaku anafiti kwa team daraja za kati kama bornmouth, Watford ambazo samata naye anauwezo wa kuzichezea.

Hapa tunamzungumzia samatta ambaye pia alifanya vizuri kwenye mashindano ya UEROPA ulaya kama unakumbu kumbu walifika mpaka hatua ya 16 bora na samatta akiwa ni mmoja wa mapachika mabao
 
Njoo ufute ujinga wako huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…