Hatupangi walimu mjini wala maeneo ya karibu na mjini

GANJA ROLLER

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2014
Posts
709
Reaction score
273
Hayo yalikuwa maelezo ya afisa elimu mmoja aliyekuja ofisni kwetu akimwelezea mwalimu aliyekuwa kaja ofisi kwetu kufatilia masuala ya mshahara wake kisha alipomwona afisa yule akaanza kumwomba mgao wa waalim pindi watakapolipot.Jamaa aligoma akdadai kidogo watakaofikiliwa ni wa sayansi ila nao ni kwa uchache.Akadai wamepewa maelekezo hayo yoka tamisemi.So we mwlim tarajal jipange kwenda pori
 
leo msemo umebadilika maana msemo uliokuwepo ni ule wa kusema hakuna ajira za walimu mwaka huu.

miaka yote msemo ndo huu we ngoja utaona mjini watu wapo wa kutosha
 
Hayo yalikuwa maelezo ya afisa elimu mmoja aliyekuja ofisni kwetu akimwelezea mwalimu aliyekuwa kaja ofisi kwetu kufatilia masuala ya mshahara wake kisha alipomwona afisa yule akaanza kumwomba mgao wa waalim pindi watakapolipot.Jamaa aligoma akdadai kidogo watakaofikiliwa ni wa sayansi ila nao ni kwa uchache.Akadai wamepewa maelekezo hayo yoka tamisemi.So we mwlim tarajal jipange kwenda pori

Tuko sawa ebu kwanza tupangwe haraka si tukafanye kazi bwana tunauzalendo na taifa letu
 
Back
Top Bottom