KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Kuanzia utawala wa Magufuli Na huu wa Samia kuna hali moja ya kishetani sana inaendelea.
Mgonjwa wako akifa hata kwa uzembe wa madaktari utazuiliwa kuchukia mwili wa nduguyo hadi ulipe mamilioni.
Sisi hatupeleki wagonjwa wakafe, tunataka wapate afya na warudi nyumbani wakiwa wazima.
Idadi ya wetu wengi wanakufa kutokana na madaktari wetu Na sio magonjwa.
Viongozi wetu wanalijua hilo ndio maana wao wakiugua hawataki kabisa kutibiwa na madaktari wetu hawa ambao badala ya kukupasua kichwa wanakupasua mguu.
Serikali iachane kabisa Na kugeuza maiti kuwa dili.
CCM imeshindwa kabisa kutoa huduma Bora za kiafya, inatoa Bora huduma.
Msifanye mchezo Na afya za watu, afya ni uhai.