Hatutakagi ma-handsome, huwa tunapenda weusi, tunapenda vibamia, hogo linaumiza

Hatutakagi ma-handsome, huwa tunapenda weusi, tunapenda vibamia, hogo linaumiza

Ndo maana wanawake wanaouza mihogo mibichi kwenye foleni
wameongezeka,kumbe wamebeba ujumbe mahususi nilikuwa sijagundua.Unashangaa hogo wanalikata vipisi vipisi tu,duh kumbe!!
ah ah ah ah!
Ah! kumbe huwa ni msg deliverance cyo nilikua cjui aisee
 
wanawake <mademu> wa jf bana [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23][emoji28] [emoji28] [emoji28] ("mangi embu nipe bapa nishushie kwanza")
hizi ni badhi ya threads zilizoniacha na kicheko cha hajaa asee
Eti hawapendagi ma-handsome [emoji15] [emoji15] tehtehteh
Eti hawapendagi white men's wanataka nyeusi tena sio maji ya kunde wala chocolate wala kahawia wala yoyote unayojua wewe ,NO ni nyeusi tu.
Wengine wakafika mbali wakasema et wanapenda vibamia ,hogo linaumiza ,et akipigwa na hog akitembea kila mtu anajua ametoka kuliwaa tehteh
wanawake wa jf bana salute kwenu

kama kuna niliyosahau ruksa kuongeza wakuu
Humu ndani inaonekana wote mna wake au waume haiwezekani mapema hivi panakua kimya haiwezekani
 
Sina usingizi wadau ila hapa kumepooza ngoja nihamie 'jamiiforum usiku wa manane' angalau nisogeze muda
 
Wanawake wa kizungu wanapenda wanaume weusi na mahogo pia, mmoja alienda mbali zaidi kuniambia wanaume lightskins wana mambo ya kike mashauzi na malingo sie wanaume weusi tupo straight hatuna ukikekike na mashauzi, ndio sababu wazungu wanapenda mablack.

uwee mweusi, uwee una hogo hivyo ni mwanzo tuu kitu kingine ni urefu Kama wewe ni pimbi nenda labda njombe huko au mbinga haupati mkee sio kwa wazungu tuu hata wanawake wa Dar es salaam.


Angalizo Pesa ndio uchawi wa hawa watu Kama wewe mfupi, una kibamia, sio handsome tafta Sana helaa.
Pimbi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom