Hatutakagi ma-handsome, huwa tunapenda weusi, tunapenda vibamia, hogo linaumiza

Ndo maana wanawake wanaouza mihogo mibichi kwenye foleni
wameongezeka,kumbe wamebeba ujumbe mahususi nilikuwa sijagundua.Unashangaa hogo wanalikata vipisi vipisi tu,duh kumbe!!
ah ah ah ah!
Ah! kumbe huwa ni msg deliverance cyo nilikua cjui aisee
 
Humu ndani inaonekana wote mna wake au waume haiwezekani mapema hivi panakua kimya haiwezekani
 
Sina usingizi wadau ila hapa kumepooza ngoja nihamie 'jamiiforum usiku wa manane' angalau nisogeze muda
 
Pimbi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…